Nawasalimu kwa jina la JamiiForum.
Miezi takribani mitatu kama sio miwili kuna dada nlitokea kumpenda, ni dada wa kichaga ambaye nilibahatika kukaa nyuma yake wakati tukifanya jaribio. Kufahamiana na huyu dada kulikuja wakati mie nikiwa nimeingia kwenye hall ya mtihani na kwakuwa niliingia late basi nikakaa nyuma na ndio
Basi nilijaa upepo nikaona nadharaulika afu kama najishusha thamani mbele yake japo wazuri ni wengi but still yule binti nlikuwa namkubali.
Basi nikafuta namba zake, chatings lakini picha zake nilishindwa kufuta aiseeee.
Life limeenda nakomaa na kitabu sasa na nishaanza kumsahau Manka wa watu.
Kuna siku, nipo darasani nimesoma sasa ukawa ni muda wa kurefresh akili kidogo ,shetani akanambia mtafute dogo chati nae this time hatozingua. Kwakuwa sikuwa na namba yake nikaenda kwa jamaa yangu ambaye yeye pia alishawahi fukuzia hapo wakashindwana, akanipa namba nikamcheki ilikuwa night mida ya saa 6 usiku tukaongea lakini alikuwa akiongea kama mtu aliepo usingizini na ni kweli akanambia amelela tuongee kesho, tukaagana.
Niwarudishe nyuma kidogo, huyu jamaa alienipa namba za huyu dada ninasoma nae programme moja na ni msela wangu tuna discuss nae wote. Katika kujisema sema kwake akaona nataja sifa za binti ambae kama anamjua, akaniuliza siyuko hivi kasuka hivi nikamkjbalia pale akasema anamjuaa akacheki hadi namba yake ,akampigia hakupokea at that time, tuko ruum na jamaa binti anapiga akasema alikuwa class basi jamaa akamwambia binti njoo tuonane badae, binti akakubali.
Huyu jamaa siku za mbeleni alikuja nigonganisha na huyu dada sehemu moja hivi, kutokea siku hiyo nikapoteza matumaini ya kumpata kwakuwa jamaaa alimtokea huyo dada na mie tena nimemtokea, so akajua hawa labda wananichezea mchezo.
Turudi sasa paragraph ya juu, kesho yake nlimtafuta tuonane, ikafeli sababu kibao nikapiga chini. Maisha yakasonga kama kawa na muda huu sikutaka sana kumpa time yangu.
Tumekaribia fanya UE nikawa nimeweka line kwa modem nikaona nitumie hii njia kumpa makavu live kama mbwai ni mbwai. Niliandika sms tatu zote zilikuwa zinajaa hadi mwisho zinasoma 6/6 ndefu kinomaa nikamchana mambo mengi ya ukweli kuhusu kuringa nk na mambo kama hayo then nikachill moyo ukiwa umetua mzigo.
Eeeeewwwh bwana weeee kesho mapeema natafutwaa tena kwa kupigiwa simu na sms kibao, eti haelewi kwann nimemuambia vilee, nikamchana tena na pale tukahamia kwa sms akaanza kunambiaa oh kama intention yako tuwe wapenzi am sorry. Nikamuuliza lakini hakunijibu hadi naingia UE namie nikasema sibebeshi sms juu ya sms ambayo haijajibiwaa .
Tumefanya ue na course nyingi tunashare last time nimeonana nae paper la mwisho, Nika assume sijawahi kumjuaa kabisa. Tumeenda likizo sijamcheki ,mwezi wa 3 ukaisha wa 4 ukaisha ukaja wa 5.
Kuna siku naenda kula nikakutana nae anarud kutoka kula ,tukaangaliana tukapishana kama hatujuani kwa kuwa alikuwa na mwenzake.
Mwezi wa 5 huohuo mwishoni, nikaona ngoja nimsumbue huyu haiwezekani anipoteze muda wangu. Nikaframe message nikatuma kwa cr wake awafowadie wanafunzi wake kuwa wenye majina hayo nawahitaji kesho haraka sana. Cr wao hanijui kama mie ndonlietumia ile sms basi akafoward as received. Kesho mapema napigiwa simu, kwakuwa huwa nalala simu ikiwa silence sikuweza sikia ikiita nkakutana na sms hi, nkaendeleza palee ,tumechat nkimtaka aje ofisini na id yake akaanza nipa excuse kuwa hawez kuja mwenzake ambae nae nilimuita atamuambia nlichotaka kumuambia, nkamuambia njoo case zenu ni tofauti ,ye akanijibu anamgonjwa kazidiwa anataka ampeleke hospital, nikamuambia nenda lakini uje........
[emoji1][emoji1][emoji1]si akapiga simu, ile nasema halo ,ye akaniita kwa jina langu The Garang nikajifanya sio Mimi akanikomaliaa tukaanza cheka palee akasema yani wewe u made my day yan we ndo wa kukifanya lecturer eti njoo ofisi fulan, hapo awali nlimtajia na ofisi za ghorofan juu kabisa nimchoshe kupanda ngazi then nimwambie ashuke tena. Basi tukapiga story nkamuiliza anakaa room bank this semester akantajia, wakat huo tunaongea akawa anakohoa nikamwambia anywe dawa,tukaaagana vizuri kwa furaha.
Siku ya game ya Simba vs Kaizer chief nlitaka nimzngue tuone atafanyaje nkamcall hakupokeaa ,akaja kunibeep nikampigia nkampa hi nkamuambia twennde mahali fulan tukachek gemu nimekuwekea na seat akakata a mda huo alikuwa anasoma ma wenzie basi tukaagana ikaisha hivyo.
Inaendeleaa ,napumzisha vidole