Leo nimemvulia pendo rasmi Manka

Leo nimemvulia pendo rasmi Manka

The Garang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
2,890
Reaction score
4,865
Nawasalimu kwa jina la JamiiForum.

Miezi takribani mitatu kama sio miwili kuna dada nlitokea kumpenda, ni dada wa kichaga ambaye nilibahatika kukaa nyuma yake wakati tukifanya jaribio. Kufahamiana na huyu dada kulikuja wakati mie nikiwa nimeingia kwenye hall ya mtihani na kwakuwa niliingia late basi nikakaa nyuma na ndio nilikuwa mtu wa mwisho.

Nilifika moja kwa moja nikampa hi huyo dada kwa kumshika bega na kumuambia ntaangalizia kwako usifiche majibu kama unavojua kwenye chumba Cha paper lolote linaweza tokea mambo yakiwa magumu lazima ujue majirani mnasaidianaje, ilikuwa ni salamu tu na wala sio kama nilivomuambia.

Ikumbuke niliingia kwa mlango wa nyuma, kwahiyo sikuweza kumjuaa anasura gani, kupitiaa kumjulia hiyo hali akaweza geuka ndipo nlipoona uzuri wa yule binti.

Uzuri wa sura yake ni mithili ya kina Jokate Mwegelo, na alikuwa na bonge la tabasamu ,kichwani kaweka nywele za gharama na vidole vya mikono virefu na laini kwa kuvitazama(vidole virefu ndo ugonjwa wangu kwa mdada).
Tuligawiwa paper, lilikuwa ni multiple choices, nikapiga chap ,karatasi la kusaini likaja nikaweza kuona na jina lake kwakuwa ye allikuwa mbele yangu na mie ndo full back Kama Yondani. Nikaenda kusanya paper langu huku nikiwa na shauku ya kutaka kujuana nae awe hata rafiki yangu tu kama Christian Bella alivoimba.

Nikaanza kuisaka namba yake kupitia majamaa zangu ambao niko nao programme tofauti, mwishowe nikaipata namba, nikaja kumtext na kujitambulisha , sikumbuki alijibu nini ila hakuwa na response nzuri kihivyo akidai kuwa hanikumbuki vizuri.

Nikamfungukia mtoto wa kichaga huku nikiamini, bora nitupie karata yangu mapema nione inakaaje. Mtoto akawa sio muelewa yani, sms anadelay kujibu, convo ya kawaida tu salamu mnaweza chati hata siku 3 haijaisha.

Basi nikamkumbuka Alikiba na song lake la kuforce mapenzi, nikaona isiwe mbaya dhahiri huyu binti hana interest na mie lakini pia nikakumbuka Bob Marley ashasema kama mwanamke ni wa thamani hutompata kirahici, ukimkatia tamaa inamaana hukuwa mtu sahihi kwake ..... .Nikajipa moyo ngoja nikomae nione inakuajee.

Katika pitapita zangu nikakutana na uzi unasema "Je ulishawahi kumlazimisha mtu abaki kwenye maisha yako, rafiki au mpenzi" nikachungulia humo nikakutana na nondo kinoma zikanijaza upepo , comments zilikuwa ziko kama hivi.

1.Mwanamme kukaa unambembeleza mwanamke huo ni unyonge.
2.Samaki baharini wako wengi kwann ukomaee na mmoja.
3.Ukiona hujibiwi sms kwa wakati ujue hupendwi hapooo nk

Hizo comments zikanijaza upepo lakini pia kulikuwa na comments kama hizi za kunifafiji.
1.Kuna mdada nimefukuzia ndani ya miaka miwili ndo amenikubalia majuzi.
2.Kabla ya kukata tamaa hakikisha umejarbu namna zote.
3.Mwanamke anaejiheshimu hawezi kukubali kiharaka asije onekana malaya.

Nilivopima kwenye mizani nikaona bora nimteme.

Inaendelea wakuu ndani ya dakika kadhaa.
 
1622753485810.png

Kazi na dawa
 
Nawasalimu kwa jina la JamiiForum.

Miezi takribani mitatu kama sio miwili kuna dada nlitokea kumpenda, ni dada wa kichaga ambaye nilibahatika kukaa nyuma yake wakati tukifanya jaribio. Kufahamiana na huyu dada kulikuja wakati mie nikiwa nimeingia kwenye hall ya mtihani na kwakuwa niliingia late basi nikakaa nyuma na ndio
Basi nilijaa upepo nikaona nadharaulika afu kama najishusha thamani mbele yake japo wazuri ni wengi but still yule binti nlikuwa namkubali.
Basi nikafuta namba zake, chatings lakini picha zake nilishindwa kufuta aiseeee.
Life limeenda nakomaa na kitabu sasa na nishaanza kumsahau Manka wa watu.

Kuna siku, nipo darasani nimesoma sasa ukawa ni muda wa kurefresh akili kidogo ,shetani akanambia mtafute dogo chati nae this time hatozingua. Kwakuwa sikuwa na namba yake nikaenda kwa jamaa yangu ambaye yeye pia alishawahi fukuzia hapo wakashindwana, akanipa namba nikamcheki ilikuwa night mida ya saa 6 usiku tukaongea lakini alikuwa akiongea kama mtu aliepo usingizini na ni kweli akanambia amelela tuongee kesho, tukaagana.

Niwarudishe nyuma kidogo, huyu jamaa alienipa namba za huyu dada ninasoma nae programme moja na ni msela wangu tuna discuss nae wote. Katika kujisema sema kwake akaona nataja sifa za binti ambae kama anamjua, akaniuliza siyuko hivi kasuka hivi nikamkjbalia pale akasema anamjuaa akacheki hadi namba yake ,akampigia hakupokea at that time, tuko ruum na jamaa binti anapiga akasema alikuwa class basi jamaa akamwambia binti njoo tuonane badae, binti akakubali.

Huyu jamaa siku za mbeleni alikuja nigonganisha na huyu dada sehemu moja hivi, kutokea siku hiyo nikapoteza matumaini ya kumpata kwakuwa jamaaa alimtokea huyo dada na mie tena nimemtokea, so akajua hawa labda wananichezea mchezo.

Turudi sasa paragraph ya juu, kesho yake nlimtafuta tuonane, ikafeli sababu kibao nikapiga chini. Maisha yakasonga kama kawa na muda huu sikutaka sana kumpa time yangu.

Tumekaribia fanya UE nikawa nimeweka line kwa modem nikaona nitumie hii njia kumpa makavu live kama mbwai ni mbwai. Niliandika sms tatu zote zilikuwa zinajaa hadi mwisho zinasoma 6/6 ndefu kinomaa nikamchana mambo mengi ya ukweli kuhusu kuringa nk na mambo kama hayo then nikachill moyo ukiwa umetua mzigo.

Eeeeewwwh bwana weeee kesho mapeema natafutwaa tena kwa kupigiwa simu na sms kibao, eti haelewi kwann nimemuambia vilee, nikamchana tena na pale tukahamia kwa sms akaanza kunambiaa oh kama intention yako tuwe wapenzi am sorry. Nikamuuliza lakini hakunijibu hadi naingia UE namie nikasema sibebeshi sms juu ya sms ambayo haijajibiwaa .
Tumefanya ue na course nyingi tunashare last time nimeonana nae paper la mwisho, Nika assume sijawahi kumjuaa kabisa. Tumeenda likizo sijamcheki ,mwezi wa 3 ukaisha wa 4 ukaisha ukaja wa 5.

Kuna siku naenda kula nikakutana nae anarud kutoka kula ,tukaangaliana tukapishana kama hatujuani kwa kuwa alikuwa na mwenzake.
Mwezi wa 5 huohuo mwishoni, nikaona ngoja nimsumbue huyu haiwezekani anipoteze muda wangu. Nikaframe message nikatuma kwa cr wake awafowadie wanafunzi wake kuwa wenye majina hayo nawahitaji kesho haraka sana. Cr wao hanijui kama mie ndonlietumia ile sms basi akafoward as received. Kesho mapema napigiwa simu, kwakuwa huwa nalala simu ikiwa silence sikuweza sikia ikiita nkakutana na sms hi, nkaendeleza palee ,tumechat nkimtaka aje ofisini na id yake akaanza nipa excuse kuwa hawez kuja mwenzake ambae nae nilimuita atamuambia nlichotaka kumuambia, nkamuambia njoo case zenu ni tofauti ,ye akanijibu anamgonjwa kazidiwa anataka ampeleke hospital, nikamuambia nenda lakini uje........

si akapiga simu, ile nasema halo ,ye akaniita kwa jina langu The Garang nikajifanya sio Mimi akanikomaliaa tukaanza cheka palee akasema yani wewe u made my day yan we ndo wa kukifanya lecturer eti njoo ofisi fulan, hapo awali nlimtajia na ofisi za ghorofan juu kabisa nimchoshe kupanda ngazi then nimwambie ashuke tena. Basi tukapiga story nkamuiliza anakaa room bank this semester akantajia, wakat huo tunaongea akawa anakohoa nikamwambia anywe dawa,tukaaagana vizuri kwa furaha.

Siku ya game ya Simba vs Kaizer chief nlitaka nimzngue tuone atafanyaje nkamcall hakupokeaa ,akaja kunibeep nikampigia nkampa hi nkamuambia twennde mahali fulan tukachek gemu nimekuwekea na seat akakata a mda huo alikuwa anasoma ma wenzie basi tukaagana ikaisha hivyo.

Inaendeleaa ,napumzisha vidole
 
Basi nilijaa upepo nikaona nadharaulika afu kama najishusha thamani mbele yake japo wazuri ni wengi but still yule binti nlikuwa namkubali.
Basi nikafuta namba zake, chatings lakini picha zake nilishindwa kufuta aiseeee.
Life limeenda nakomaa na kitabu sasa na nishaanza kumsahau Manka wa watu.

Kuna siku, nipo darasani nimesoma sasa ukawa ni muda wa kurefresh akili kidogo ,shetani akanambia mtafute dogo chati nae this time hatozingua. Kwakuwa sikuwa na namba yake nikaenda kwa jamaa yangu ambaye yeye pia alishawahi fukuzia hapo wakashindwana, akanipa namba nikamcheki ilikuwa night mida ya saa 6 usiku tukaongea lakini alikuwa akiongea kama mtu aliepo usingizini na ni kweli akanambia amelela tuongee kesho, tukaagana.

Niwarudishe nyuma kidogo, huyu jamaa alienipa namba za huyu dada ninasoma nae programme moja na ni msela wangu tuna discuss nae wote. Katika kujisema sema kwake akaona nataja sifa za binti ambae kama anamjua, akaniuliza siyuko hivi kasuka hivi nikamkjbalia pale akasema anamjuaa akacheki hadi namba yake ,akampigia hakupokea at that time, tuko ruum na jamaa binti anapiga akasema alikuwa class basi jamaa akamwambia binti njoo tuonane badae, binti akakubali.
Huyu jamaa siku za mbeleni alikuja nigonganisha na huyu dada sehemu moja hivi, kutokea siku hiyo nikapoteza matumaini ya kumpata kwakuwa jamaaa alimtokea huyo dada na mie tena nimemtokea, so akajua hawa labda wananichezea mchezo.

Turudi sasa paragraph ya juu, kesho yake nlimtafuta tuonane, ikafeli sababu kibao nikapiga chini. Maisha yakasonga kama kawa na muda huu sikutaka sana kumpa time yangu.
Tumekaribia fanya UE nikawa nimeweka line kwa modem nikaona nitumie hii njia kumpa makavu live kama mbwai ni mbwai. Niliandika sms tatu zote zilikuwa zinajaa hadi mwisho zinasoma 6/6 ndefu kinomaa nikamchana mambo mengi ya ukweli kuhusu kuringa nk na mambo kama hayo then nikachill moyo ukiwa umetua mzigo.

Eeeeewwwh bwana weeee kesho mapeema natafutwaa tena kwa kupigiwa simu na sms kibao, eti haelewi kwann nimemuambia vilee, nikamchana tena na pale tukahamia kwa sms akaanza kunambiaa oh kama intention yako tuwe wapenzi am sorry. Nikamhuliza kwanini hakunijibu hadi naingia UE namie nikasema sibebeshi sms juu ya sms ambayo haijajibiwaa .
Tumefanya ue na course nyingi tunashare last time nimeonana nae paper la mwisho, Nika assume sijawahi kumjuaa kabisa. Tumeenda likizo sijamcheki ,mwezi wa 3 ukaisha wa 4 ukaisha ukaja wa 5.

Kuna siku naenda kula nikakutana nae anarud kutoka kula ,tukaangaliana tukapishana kama hatujuani kwa kuwa alikuwa na mwenzake.
Mwezi wa 5 huohuo mwishoni, nikaona ngoja nimsumbue huyu haiwezekani anipoteze muda wangu. Nikaframe message nikatuma kwa cr wake awafowadie wanafunzi wake kuwa wenye majina hayo nawahitaji kesho haraka sana. Cr wao hanijui kama mie ndonlietumia ile sms basi akafoward as received. Kesho mapema napigiwa simu, kwakuwa huwa nalala simu ikiwa silence sikuweza sikia ikiita nkakutana na sms hi, nkaendeleza palee ,tumechat nkimtaka aje ofisini na id yake akaanza nipa excuse kuwa hawez kuja mwenzake ambae nae nilimuita atamuambia nlichotaka kumuambia, nkamuambia njoo case zenu ni tofauti ,ye akanijibu anamgonjwa kazidiwa anataka ampeleke hospital, nikamuambia nenda lakini uje........

si akapiga simu, ile nasema halo ,ye akaniita kwa jina langu The Garang nikajifanya sio Mimi akanikomaliaa tukaanza cheka palee akasema yani wewe u made my day yan we ndo wa kukifanya lecturer eti njoo ofisi fulan, hapo awali nlimtajia na ofisi za ghorofan juu kabisa nimchoshe kupanda ngazi then nimwambie ashuke tena. Basi tukapiga story nkamuiliza anakaa room bank this semester akantajia, wakat huo tunaongea akawa anakohoa nikamwambia anywe dawa,tukaaagana vizuri kwa furaha.

Siku ya game ya Simba vs Kaizer chief nlitaka nimzngue tuone atafanyaje nkamcall hakupokeaa ,akaja kunibeep nikampigia nkampa hi nkamuambia twennde mahali fulan tukachek gemu nimekuwekea na seat akakata a mda huo alikuwa anasoma ma wenzie basi tukaagana ikaisha hivyo.

Inaendeleaa ,napumzisha vidole
MWISHO

Juzi kati nikamtext hakunijibu nkajifafiji kwa kuwa nimemtext kwa simu ndogo kuna muda huwa kanajaaa sms ,zikijaa ukijafuta sms za saa 2 zinafika saa 7 huko. Lakini wapi binti yule hakunijibu bwana weeee.

Jamaa yangu ambae nimemtaja huko juu kaacha chuo baada ya kuona mambo ni magumu na anamitikasi yakumuingizia pesa home, jana akanitafuta katika kuchati nikamtania kwa kumuita baba Manka akacheka kuwa mbona huyo ni wako nimekuachia ,nikamiambia yote akasema kama hajibu sms kawaida kwa wadada , akaanza nae kunipa wosia.

1.Mdada kama yule kwanza anafatwa na wengi alafu hataki kuonekana ni mrahici mtamuona malaya, nikasema may be hio ni sababu.
2.Akanambia yeye alifeli baada ya kujikuta star, kwamba hataki kugharamia kama kumcheki cheki kila mara Manka na vitu vingine, nkamuuliza kama kala tayari akanambia hapana, nikafurahk.

3.Nijaribu kumtoaa hata out au nimualike hata dinner or nimpelekee hata vi chocolate wadada wanapenda sana na sio kumuambia habari za kwenda kucheki mpira sijui
4.Akanambja kuwa na akili usioteze sana muda wako kwake. Mazungumzo yakaisha jamaa akaenda mpirani.

Nikachakata chakatua kama ngoma ya Kiba, kusema nimtoe out kiukweli kifedha muda huu boom bado nashindia mlo mmoja kwa siku nikaona nitafeli nikijiingiza kwenye gharama zisizo na lazima na kuna kipindi nilimchana huyu Manka ,mie nakupenda ila hela sina nahic hapa napo nilijishushia pointi kabisa kwa mtoto yule wa kishua, nikaona may be nifanye last attempt Leo nione atarespond vipi kwa kumtext hizo outing hapana labda apelekewe chocolate tu.

Leo tulikuwa na test, nime delay kwenda nikafika formation zishapangwa watu na watu wao wa kuponea, ile naingiaa paaap class namuona binti kakaaa nyuma kuliaa akaniangalia nkamuangalia then tukapotezeana ikabidi nikakae mbele kabisa. Paper imekuja simple nikapiga chaap nikakusanya.

Nimeenda room nkaona nijifanye kama naulizia hali yake ya kukohoa maana hata jamaa tajwa hapo juu alinambia ni mgonjwa kifua huwa kinamzingua, nikatext mambo Manka, vp unaendeleaje na kikohoz. Sikupokea reply kwenye namba yake ikaja badaee namba ngeni ikanijibu poa vp, nikamuuliza we ni manka ndo hadi saiv sijajibiwa lolote.

Kiufupi haka ka binti ka model nimekapenda aisee kapo simple sana kana mapigo mazuri kanajua kutupiaa lakini kanisumbua sana nimejaribu kujiweka karibu naye lakini wapii imeshindikana.
Nimempa siku 2 awe amejibu sms asipojibu ntajua hapa sitakiwi tena na nina lazimisha mambo ,hapo nafuta namba na chatings zote I hope sitomkumbuka.

Naombeni mniombee katika hili wana JF.

Wale mnaoulizia kuhusu umri wangu nakaribia 25 soon na wale mtao comment kuhusu kusoma ,kusoma nasoma sana lakini haya mambo mengine yanakuja automatically.
View attachment 1807513
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom