Leo nimemsaliti mpenzi wangu sasa roho inaniuma hadi nakosa amani

ni majuto kwa kitu ulichokifanya.....tubu kwa Mungu wako naye ataona imani ya moyo wako weka nadhiri na muumba wako kwamba hutarudia tena.....mkeo atakapo rudi utakuwa poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom