Leo nimemsaliti mpenzi wangu sasa roho inaniuma hadi nakosa amani

.atakama unawaza kumwambia mkeo basi usimwambie hivi karibuni...umenisikitisha sana kijana ni vyema ukaitubu dhambi yako ili uwe Huru...@twaweza!!
Nashukuru kwa ushauri wenu wakuu, hakika kila ninaposoma baadhi ya komenti naona faraja kidogo lakini nikikumbuka ule muda wa jana nakosa amani kabisa,.. sijui hii hali nifanyeje.
 
Mkeo akirudi muombe msamaha, hapo moyo utatakata na kurudia hali yke ya kawaida
Acha kumdanganya, unataka mkewe nae aanze kuchepuka!!! Unafikiri akimthibitishia mkewe kuwa alichepuka atamwamini tena... Mwanamke ni wa kumsoundisha tu aambiwi ukweli kabisa..
 
Ni kwa kuwa nimekosa amani moyoni, hapa sina ata lepe la usingizi baada ya kumaliza tu nimeanza kujuta kwanini nimefanya hivo
Baada ya kuona kuwa hakuna jipya ulilopata kutoka hapo ts obvious majuto huwa ni mjukuu...next tym kuwa makin kusikiliza sauti zilizo ndn mwako..m sure kuna moja ilikwambia usifanye.na nyingine fanya.
Think before u act
 
Nakubaliana na ww.. maana kuna muda nikosa kondom ikanibidi nikod pikipiki usku ule kwenda kutafuta kwenye maduka ya madawa nikawa najiuliza kua Mungu hapendi huenda ndio maana sizipati lakn nikazid kusaka duka la dawa hadi nilipozipata hizo kondom
 
Mke wangu anasiku kidogo ametoka, na nina uhakika ananipenda na hawajawai kunisaliti, lakini leo sijui shetani kanipitiaje nikamwita mwanamke fulan alkua ananitaka tangu zamani, kaja nikamkaza sasa cha ajabu moyo wangu umekosa amani kabisa roho inaniuma sana kias kwamba akija atanigundua maana sijawai na ninajuta kwa kweli,... naombeni ushauri nifanyeje tafadhali
mkuu ungekuwa mimi nadhani ungekuwa umetoweka dunia. Nampenda sana mpenzi wangu (ila sijamwoa tunamtoto), hizi techniques piga sepa nimefanya mpaka nimechoka
 
Jitahd akirjea omba radhi n kumbka kuwa usichopnda kutendewa n weye ucmtendee mwnziyo malpo hpahpa 2..
 
mkuu ungekuwa mimi nadhani ungekuwa umetoweka dunia. Nampenda sana mpenzi wangu (ila sijamwoa tunamtoto), hizi techniques piga sepa nimefanya mpaka nimechoka
Usaliti ni mbaya sana na leo nimekubali yaani shida niliyopata daaah i wont repeart it again
 
Mke wangu anasiku kidogo ametoka, na nina uhakika ananipenda na hawajawai kunisaliti, lakini leo sijui shetani kanipitiaje nikamwita mwanamke fulan alkua ananitaka tangu zamani, kaja nikamkaza sasa cha ajabu moyo wangu umekosa amani kabisa roho inaniuma sana kias kwamba akija atanigundua maana sijawai na ninajuta kwa kweli,... naombeni ushauri nifanyeje tafadhali
ndo maisha ila usirudie tena
 
ndo maisha ila usirudie tena
Hapo katambua kosa lake, it is good, kinachofuata ni kutubu, huwezi samehewa hadi amjulishe na kumuomba msamaha mtu aliyemkosea. Hivyo amuombe msamaha mkewe ili asamehewe. Kwani tunamkosea Mungu kupitia viumbe vyake. Hata siku moja huwezi mtendea mtu kitu kibaya halafu ukasema utatubu kwa Mungu! Lahasha yakupasa uombe msamaha kwa aliyemkosea then utapata rehema kwa Mungu.
 
kuchepuka ni kawaida kwa mwanaume,acha woga.kikubwa ni kutumia Condom sio kujiloweka tu kama kwa mkeo hapo
Kwamba kuzini sio tatizo kabisa, na tatizo kama hutatumia kondomu!

Sadakanazopeleka makanisani na misikitini nibl bora mkale maembe tu maana hata mafundisho ya dini hamyataki.
 
Tamaa mbele mauti nyuma.... Na kama wewe umemvua mwanamke mwingine chupi usilalamike siku ukikuta wanaume wenzio nao wamemvua mkeo chupi.
 
Usaliti Si Jambo La Bahati Mbaya, Unalifanya Ukiwa Umedhamiria Kabisa. Sioni Kwanini Ujute Kwa Jambo Ambalo Umelifanya Kwa Makusudi.
 
Kama shetani alikupitia basi na wewe kesho mpitie Shetani maana mshakuwa marafiki. Wa kupitiana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom