Leo nimelia mno

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,550
Mil 10 zangu zimeshikiliwa na majambazi hayataki kunipatia pesa zangu.
Pasaka hii watoto wangu wanakula ugali bamia halafu Kwa jirani pilau kuku linanukia, na Coca Cola baridi jirani anajiachia tu.
mwanangu wa miaka mitano kapagawa baada ya kuona ugali bamia na jirani pilau, mwanangu alipolia Kwa uchungu nami nikalia Sana Kwa hasira, ni bora usizaliwe kuliko kuzaliwa ktk taifa dhulumati Kama hili.
 
Roho yako ndo muhimu shukuru Mungu kwa kuponya roho yako
 
Hii pasaka mbona vituko? Milion 10 nani kakuchukulia? Bora wewe umemudu ugali bamia wengine wamepiga .................
 
Pole mkuu ndio maisha yana challenge za kila aina hayo nayo yatapita mtegemee Mungu.
 
duh! Mzee punguza hasira..INA maana milioni zote hizo ulitaka kuziteketeza kwa siku moja zote.!?

Baadae utamshukuru huyo jambazi
 
I Like Ferry stories too
 
Bado ata sijAelewa vema!embu maliza kulia vema alafu tupe mkasa vizuri!
 
pole sana mkuu

ningekua na pesa tungesherekea wote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukumbuke kuna watu wanashinda njaa/hata ugali bamia wamekosa.

Tushukuru kwakila Jambo
 
eleza ulivyoibiwa unaweza kupata msaada

weka namba tukucheki ata naten uwape watoto vyoda.
nb: sio ya kwenda kula bia.
 
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] Pole namejisikia kulia na mimi maana tangu asubuhi sina hata cha kuweka mdomoni ni bora ningepata hata ugali bamia ningeshukuru sana kwa muumba
 
Wakati mwingine jilinde kwa mbinu mbadala
 
Hayo majambalika yako wp...tukayakamate yarudishe mil.kumi zako..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…