KUNA KITU KIMENIKERA SANA, NILIKUWA NJE YA NCHI. UGANDA KWA SIKU TATU,,, NIKAWA NIMEMWAMBIA RAFIKI WA FACE BOOK, INBOX KWAMBA KWA SASA HIVI NIKO NJE YA NCHI NDIO MAANA NILISHINDWA KUKUJIBU MSG YAKO.. AKANIAMBIA HIVI, UGANDA NAPO NI NJE YA NCHI? KIMENIKERA SANA.
Maongezi yetu yalikuwa hivi.
Rafiki,,,,Hi Kungwi,,,
Kungwi,,,,Hi.
Rafiki,,,, kungwi mbona kimya hivyo hujibu msg unanichunia eee!
... Kungwi,,, Hapana sichuni niko nje ya nchi mambo mengi pole.
Rafiki,,,,, Dah! unasafiri hatuambiani,, haya niambie uko wapi kungwi langu?
Kungwi,,, ha ha ha, sijauchuna bana.. niko tu, Niko Uganda.
Rafiki,,,,,,, ha ha ha ha ha ha ha ha , mbavu zangu kungwi.
Kungwi,,,, kwa nini unacheka ?
Rafiki,,,,, kungwi uganda nako ni nje ya nchi? usiseme kwanguvu utachekwa.
Kungwi,,,, heee, ndio umenicheka hivyo?
Rafiki,,,, Kkungwi uganda sio nje ya nchi bana,, mimi nilijua uko zako mantoni, nikuombe ulele zawadi.
Kungwi,,,,, Bye.
Rafiki,,, kungi mbona kama umemind
Rafiki,,,, usimind ila usijaribu kusema uganda ni nje ya nchi.
Rafiki,,,,, kungwi, usikasirike please.
NILICHUKIA.
[/B]