Hilo Kanisa liko wapi?Leo sina mengi ya kuwaelezeni mwezi uliopita nilijiunga na kanisa la SDA (Wasabato) ni kanisa moja zuri sana na bora kuwahi kusali..lina mafundisho mema na yanayofaa kwa maisha ya hapa duniani na huko baada ya ufufuo.
Leo nimeamua kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima kwa sababu kuu 3:
1. Katika maisha yangu sipendi mtu mnafiki. Gwajima ni kiongozi mwenye misimamo thabiti isiyoyumbishwa mithili ya mawimbi.
2. Mimi ni mfuasi wa SUKUMA GANG (Watanzania tunaoishi kwa falsafa hayati Dr. Magufuli na misimamo yake) Gwajima ndie kiongozi wetu.
3. Na uhuru wa kuamua chochote juu ya mwili wangu, roho yangu na nafsi yangu.
Unajua askofu huyu anamwabudu nani wewe?Leo sina mengi ya kuwaelezeni mwezi uliopita nilijiunga na kanisa la SDA (Wasabato) ni kanisa moja zuri sana na bora kuwahi kusali..lina mafundisho mema na yanayofaa kwa maisha ya hapa duniani na huko baada ya ufufuo.
Leo nimeamua kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima kwa sababu kuu 3:
1. Katika maisha yangu sipendi mtu mnafiki. Gwajima ni kiongozi mwenye misimamo thabiti isiyoyumbishwa mithili ya mawimbi.
2. Mimi ni mfuasi wa SUKUMA GANG (Watanzania tunaoishi kwa falsafa hayati Dr. Magufuli na misimamo yake) Gwajima ndie kiongozi wetu.
3. Na uhuru wa kuamua chochote juu ya mwili wangu, roho yangu na nafsi yangu.
Wewe kama unajua si useme..acha unafiki.Unajua askofu huyu anamwabudu nani wewe?
Kumbe hujamjua gwajiboy tu!Wewe kama unajua si useme..acha unafiki.
#MaendeleoHayanaChama
Wewe unaye mjua si ufunguke laa sivyo kaa kutulia.Kumbe hujamjua gwajiboy tu!
Karibu sanaLeo sina mengi ya kuwaelezeni mwezi uliopita nilijiunga na kanisa la SDA (Wasabato) ni kanisa moja zuri sana na bora kuwahi kusali..lina mafundisho mema na yanayofaa kwa maisha ya hapa duniani na huko baada ya ufufuo.
Leo nimeamua kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima kwa sababu kuu 3:
1. Katika maisha yangu sipendi mtu mnafiki. Gwajima ni kiongozi mwenye misimamo thabiti isiyoyumbishwa mithili ya mawimbi.
2. Mimi ni mfuasi wa SUKUMA GANG (Watanzania tunaoishi kwa falsafa hayati Dr. Magufuli na misimamo yake) Gwajima ndie kiongozi wetu.
3. Na uhuru wa kuamua chochote juu ya mwili wangu, roho yangu na nafsi yangu.
Wewe hupendi warembo?Kondoo imejileta nenda ukachungwe na mkono wa baunsa aka kuwa na warembo kuna ubaya gani
Leo sina mengi ya kuwaelezeni mwezi uliopita nilijiunga na kanisa la SDA (Wasabato) ni kanisa moja zuri sana na bora kuwahi kusali..lina mafundisho mema na yanayofaa kwa maisha ya hapa duniani na huko baada ya ufufuo.
Leo nimeamua kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima kwa sababu kuu 3:
1. Katika maisha yangu sipendi mtu mnafiki. Gwajima ni kiongozi mwenye misimamo thabiti isiyoyumbishwa mithili ya mawimbi.
2. Mimi ni mfuasi wa SUKUMA GANG (Watanzania tunaoishi kwa falsafa hayati Dr. Magufuli na misimamo yake) Gwajima ndie kiongozi wetu.
3. Na uhuru wa kuamua chochote juu ya mwili wangu, roho yangu na nafsi yangu.
UbungoMnasalia wapi sikuhizi?
#MaendeleoHayanaChama
Kanisa limekamilika?..nipe ratiba za ibada.Ubungo