Leo nimechukua Fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini

Wiston Mogha

Senior Member
Feb 13, 2014
149
96
Nawashukuru sana.

Leo nimechukua Fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la kigoma Mjini, nikiwa nimeambatana pamoja na Familia yangu, Ndugu, Jamaa na Marafiki.

Kigoma Tuitakayo inahitaji kiongozi wa kizazi kipya ambae kipaumbele chake cha kwanza iwe maslahi ya wananchi wake kwanza.

Natambua ukubwa wa dhamana ninayoiomba na niko tayari kwa utumishi.

Naiomba nafasi hii nikielewa kiu ya Wanakigoma mjini ya kupata uongozi mpya unaotoa matumiani mapya yatakayoifikia Kigoma Tuitakayo.

NIko tayari kushirikiana nanyi wote tuijenge kigoma Mjini.

*Wiston Mogha*
*Mtia nia Ubunge jimbo la Kigoma Mjini*
78b8650e-820e-4de1-80f3-d465f01b915a.jpg
a6d177e6-1937-4be5-95d1-085c0812c1b4.jpg
74e69516-1538-4881-ac62-c2825ea72de6.jpg
 
umejipangaje katika kuleta maendeleo kwa wananchi wa kigoma mjini hususani katika sekta ya viwanda ? unafahamu kigoma inapaswa kuwa na kiwanda cha samaki ?
 
Ndugu Mogha Waha na Manyema watakuelewa kweli mtu toka Mbeya/Songwe huko......kuna Nondo hapo na Kaka yake.

Mbona hujataja chama,hiyo bendera haujulikani
 
Nawashukuru sana.

Leo nimechukua Fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la kigoma Mjini, nikiwa nimeambatana pamoja na Familia yangu, Ndugu, Jamaa na Marafiki.

Kigoma Tuitakayo inahitaji kiongozi wa kizazi kipya ambae kipaumbele chake cha kwanza iwe maslahi ya wananchi wake kwanza.

Natambua ukubwa wa dhamana ninayoiomba na niko tayari kwa utumishi.

Naiomba nafasi hii nikielewa kiu ya Wanakigoma mjini ya kupata uongozi mpya unaotoa matumiani mapya yatakayoifikia Kigoma Tuitakayo.

NIko tayari kushirikiana nanyi wote tuijenge kigoma Mjini.

*Wiston Mogha*
*Mtia nia Ubunge jimbo la Kigoma Mjini*View attachment 1523620View attachment 1523622View attachment 1523623
Ndugu, acha kupoteza muda kabisa. Huijui kigoma wewe. Unapoteza muda, rasilimali fedha na nguvu.
 
Nawashukuru sana.

Leo nimechukua Fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la kigoma Mjini, nikiwa nimeambatana pamoja na Familia yangu, Ndugu, Jamaa na Marafiki.

Kigoma Tuitakayo inahitaji kiongozi wa kizazi kipya ambae kipaumbele chake cha kwanza iwe maslahi ya wananchi wake kwanza.

Natambua ukubwa wa dhamana ninayoiomba na niko tayari kwa utumishi.

Naiomba nafasi hii nikielewa kiu ya Wanakigoma mjini ya kupata uongozi mpya unaotoa matumiani mapya yatakayoifikia Kigoma Tuitakayo.

NIko tayari kushirikiana nanyi wote tuijenge kigoma Mjini.

*Wiston Mogha*
*Mtia nia Ubunge jimbo la Kigoma Mjini*View attachment 1523620View attachment 1523622View attachment 1523623
hongera kaka Naamin Tutakutana viwanja vya bungen
 
Ukipata kura 5000 nakupa mshahara wangu wa mwezi wa 10!!
 
Back
Top Bottom