Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,453
- 2,205
Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo naacha rasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa hivo nikahisi nitaumia sana alafu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama ni ya jamaa yake au ya kwangu hivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake.
Nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta
Sent using Jamii Forums mobile app
