Care Giver
Member
- Apr 2, 2024
- 76
- 219
40025000308Kuna jambo nimelifanya leo... [emoji3]
Leo nilikua naelekea hospitali na mgonjwa wangu... Sasa kufika maeneo flani nikasimamishwa Traffic, basi kwa kutii sheria nkasimama kwa mbele. Alikuja Traffic wakike kukagua kama gari inadaiwa na kufanya ukaguzi wao.
Baada ya ukaguzi wake akaja dirishani kuomba leseni yangu. Hapa ndio balaa lilipoanzia, nkamwambia hapa nipo na mgonjwa namuwahisha hospitali hivyo nimeisahau. Ila ki ukweli nlikuwa nayo lakini kwa kuwa inadaiwa sikutaka kuitoa. [emoji3] Alinkomalia sana hakuna kutoa gari mpaka ntoe leseni.
Basi nkamuuliza vipi kama nkikutajia namba maana naijua... akasema sawa ntajie.
Nkaitaja nzima nzima,"bilioni nne milioni mbili elfu tano mia tatu na nane."
Baada ya kujaribu kuandika mara kadhaa akasema hauna deni nenda, wakati mi najua nina deni kabisa.
Sasa ebu tumsaidie kuiandika kwa namba..
Miongoni mwa mbinu za kupata mishangaziWadada wa hapa jf washajua una gari
Asante kwa huu Uzi.Miongoni mwa mbinu za kupata mishangazi
Mbinu za kupata Mishangazi ya JF
Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi hupenda kuwa na wanaume ambao walau wako njema hata kama hawana pesa mingi kivile ili mradi wapate...www.jamiiforums.com
400200530840025000308
Mkuu; Hesabu maalum kwa mwanajeshi yeyote yule ni: 1, 2, 3, 1 . Hayo mengine ni ziada tuu.Kuna jambo nimelifanya leo... [emoji3]
Leo nilikua naelekea hospitali na mgonjwa wangu... Sasa kufika maeneo flani nikasimamishwa Traffic, basi kwa kutii sheria nkasimama kwa mbele. Alikuja Traffic wakike kukagua kama gari inadaiwa na kufanya ukaguzi wao.
Baada ya ukaguzi wake akaja dirishani kuomba leseni yangu. Hapa ndio balaa lilipoanzia, nkamwambia hapa nipo na mgonjwa namuwahisha hospitali hivyo nimeisahau. Ila ki ukweli nlikuwa nayo lakini kwa kuwa inadaiwa sikutaka kuitoa. [emoji3] Alinkomalia sana hakuna kutoa gari mpaka ntoe leseni.
Basi nkamuuliza vipi kama nkikutajia namba maana naijua... akasema sawa ntajie.
Nkaitaja nzima nzima,"bilioni nne milioni mbili elfu tano mia tatu na nane."
Baada ya kujaribu kuandika mara kadhaa akasema hauna deni nenda, wakati mi najua nina deni kabisa.
Sasa ebu tumsaidie kuiandika kwa namba..
Elfu tano iko wapi?40025000308
Ni milion mbili kumbe nilifikir mia mbili4,200,005,308
4002005308Kuna jambo nimelifanya leo... [emoji3]
Leo nilikua naelekea hospitali na mgonjwa wangu... Sasa kufika maeneo flani nikasimamishwa Traffic, basi kwa kutii sheria nkasimama kwa mbele. Alikuja Traffic wakike kukagua kama gari inadaiwa na kufanya ukaguzi wao.
Baada ya ukaguzi wake akaja dirishani kuomba leseni yangu. Hapa ndio balaa lilipoanzia, nkamwambia hapa nipo na mgonjwa namuwahisha hospitali hivyo nimeisahau. Ila ki ukweli nlikuwa nayo lakini kwa kuwa inadaiwa sikutaka kuitoa. [emoji3] Alinkomalia sana hakuna kutoa gari mpaka ntoe leseni.
Basi nkamuuliza vipi kama nkikutajia namba maana naijua... akasema sawa ntajie.
Nkaitaja nzima nzima,"bilioni nne milioni mbili elfu tano mia tatu na nane."
Baada ya kujaribu kuandika mara kadhaa akasema hauna deni nenda, wakati mi najua nina deni kabisa.
Sasa ebu tumsaidie kuiandika kwa namba..
Wadada wa hapa jf washajua una gari
40025000308