Na hii sheria yakubaki njia kuu hii??? Ata nikifika itakua juice au maji????
A.alykum mkwe
wapenda vitoweo utawajua tu lol 🙂
Alhamdulillah....wa anta? Vp habibty?
Mashallah nimefurahi kupata salam yake....sijui nianze kutoa????
mimi49 hebu saidia kugawa
Bakuli leupe kule mwisho lina nini?
Hapo ulitakiwa uandike: Mtaje mtu unayemjua akiitwa hapo atapakua kila aina ya chakula/kila kitu.
Naanza: nkwela Ntuzu
Mashallah nimefurahi kupata salam yake....sijui nianze kutoa????
Ngekewa tukimaliza hii kuna ugali unakuja
Hahaha mkuu kwani ulikua hujui hii?