miss neddy kanywa yote mkuu, na yeye kaamka na njaa kama mimiMbona 'chai' ya baridi sioni hapo utafiti
Kamba mummy, hao red unaowaona
miss neddy kanywa yote mkuu, na yeye kaamka na njaa kama mimi
Hii thread inakoelekea, natabiri mchezo mbaya utafanywa kati ya utafiti na miss neddy. Kwa mazungumzo haya, hawa wawili watapeana tu, mtakuja mniambie!
hahahaha wamechelewa wenyewe kuamka mimi nishajisevia chai na hali ya hewa ilivyokuwa asubuhi chai imenifanya nijisikie fresh siku nzima pole bysange kwa kuchelewa
Kesho nikileta sikuamshi coz unasubiri wengine wamelala unamaliza....hata ile juice sijui umeficha wapi?
Kama vipi tuanze na hao vibua...
Kabla hatujaanza kula tugawane kabisa vitoeo kila mtu vyake la si hivo wale wenye matonge makubwa watamaliza samaki wote
Cc mimi49
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums