leo ni zamu ya HTc je atawafunika wakubwa? (iphone, samsung na nokia))

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,715
39,800
baada ya samsung ativ ikaja nokia lumia 920 na 820 zikaja motorola droid then ikaja iphone 5 na jana tukaona first motorola yenye intell processor (2ghz) sasa leo ni htc world ambapo htc inazindua simu zake.

Mpaka sasa device htc 8x imeleak kidogo itatumia windows phone os jina la utani ni accord
accord_large_extra_large.jpg

Itakua na screen 4.3 super amoled 720hd na pia processor ni kama ya lumia 920 snapdragon 1.5 ghz dual.

Mengine mengi stay tuned

Then naona htc ameamua device yake kubwa iwe wp8 maana itakua nzuri kuliko one x android kazi wanayo
 
Zna vary kutegemea na ukubwa,bt samsung glxy zpo juu sana cmprd wth htc cjajua y mpaka saiv,ila za ukweli balaa.may b ndo wanafanya advertzmnt
 
mkuu hamna ubishi lumia 920 ndio simu bora kwa sasa tatizo la nokia hawajui kujitangaza hawana propaganda wamezidi kuwa walokole.

Marekani kuna karesearch kadogo toka iphone 5 imetoka katika kila habari kumi za simu nane ni za iphone japo iphone 5 ndo simu mbaya aple hawajawahi to.
 
Back
Top Bottom