MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 15,518 Reaction score 39,096 Apr 1, 2023 #1 Wanaadhimisha kila tarehe 1 April, ila mwisho saa nne asubuhi Aliyeelewa kaelewa
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,753 Reaction score 24,119 Apr 1, 2023 #2 Mashabiki wa simba ni wajinga ndio maana leo ni sikukuu yao, si unaona mtaani wanapita wanashangilia kufungwa 3 na waarab.
Mashabiki wa simba ni wajinga ndio maana leo ni sikukuu yao, si unaona mtaani wanapita wanashangilia kufungwa 3 na waarab.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,551 Reaction score 860,698 Apr 1, 2023 #3 SIMBA ni timu moja kubwa sana na inayopendwa na wengi ndio maana haibanduki midomoni mwa wote
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 15,518 Reaction score 39,096 Apr 1, 2023 Thread starter #4 Medecin said: Mashabiki wa simba ni wajinga ndio maana leo ni sikukuu yao, si unaona mtaani wanapita wanashangilia kufungwa 3 na waarab. Click to expand... Hakika
Medecin said: Mashabiki wa simba ni wajinga ndio maana leo ni sikukuu yao, si unaona mtaani wanapita wanashangilia kufungwa 3 na waarab. Click to expand... Hakika
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 20,080 Reaction score 41,575 Apr 1, 2023 #5 Mshana Jr said: SIMBA ni timu moja kubwa sana na inayopendwa na wengi ndio maana haibanduki midomoni mwa wote Click to expand... Simba 🦁🦁 Nguvu MOJA Wapinzani wanatapatapa
Mshana Jr said: SIMBA ni timu moja kubwa sana na inayopendwa na wengi ndio maana haibanduki midomoni mwa wote Click to expand... Simba 🦁🦁 Nguvu MOJA Wapinzani wanatapatapa
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,973 Reaction score 54,101 Apr 1, 2023 #6 Medecin said: Mashabiki wa simba ni wajinga ndio maana leo ni sikukuu yao, si unaona mtaani wanapita wanashangilia kufungwa 3 na waarab. Click to expand... Tutake radhi
Medecin said: Mashabiki wa simba ni wajinga ndio maana leo ni sikukuu yao, si unaona mtaani wanapita wanashangilia kufungwa 3 na waarab. Click to expand... Tutake radhi
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,792 Reaction score 132,429 Apr 1, 2023 #7 MIXOLOGIST said: Wanaadhimisha kila tarehe 1 April, ila mwisho saa nne asubuhi Aliyelewa kaelewa Click to expand... Naamini mgeni rasmi kwenye hayo maadhimisho yao, alikuwa ni yule mwenyekiti wao mstaafu.
MIXOLOGIST said: Wanaadhimisha kila tarehe 1 April, ila mwisho saa nne asubuhi Aliyelewa kaelewa Click to expand... Naamini mgeni rasmi kwenye hayo maadhimisho yao, alikuwa ni yule mwenyekiti wao mstaafu.
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 15,518 Reaction score 39,096 Apr 2, 2023 Thread starter #8 Tate Mkuu said: Naamini mgeni rasmi kwenye hayo maadhimisho yao, alikuwa ni yule mwenyekiti wao mstaafu. Click to expand... Hakika
Tate Mkuu said: Naamini mgeni rasmi kwenye hayo maadhimisho yao, alikuwa ni yule mwenyekiti wao mstaafu. Click to expand... Hakika