Leo ni siku ya wa baba duniani

Leo ni siku ya wa baba duniani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,147
Reaction score
829,071
15 June.. Remember this date..
Hatujakumbukwa.. Basi nasi tusijisahau..Raha jipakulie mwenyewe hutajipunja

Una lolote la kumwambia baba yako? Liweke hapa kama kumbukumbu ya siku yake duniani

Sherehekea akina baba, babu, baba wa kambo na kumbukumbu za baba leo Juni 15 kwa matakwa makuu ya moyo💗💗💗. Heshimu na tambua upendo, mwongozo, dhabihu na michango ya akina baba katika siku hii kuu
Happy Father's Day Sayings to Write in a Father's_.jpeg
 
Nilikuwa sijui kwa nini Mzee ulinikazia kila Kona.
Ila Sasa naelewa ulitambua maisha sio mepesi na rahisi kwa Mwanaume.
Nimejifunza hakuna gumu lisilo na majibu kwa wagumu
Ulinifunza vyema, pumzika Mzee mtata kama ulivyopenda nikuite
 
Hebu leo mtakie Happy Father's day mumeo au baba wa watoto wako kama anawajibika kama baba wa familia....kama hawajabiki yaani hajui hata watoto wake wanalala wapi hebu weka emoji ya bomu 💣💣😂😂View attachment 3369548
Happy fathers day kipenzi changu....
Oooh happiest birthday baba watoto.
Kila nikijaribu kummention inagoma 😁

(Ukipita kusoma naomba afu amsini nikununulie keki, i love u)
 
Back
Top Bottom