Leo ni siku ya usafi?

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,994
12,771
Nakumbuka Naibu Waziri wa mazingira alitangaza kuwa jumamosi ya kila mwisho wa mwezi ni siku ya usafi.

Mbona hatujakumbushwa ili tufanye kama siku ile ya Uhuru?

Maana wengi tumesahahu
!
 
Nakumbuka naibu waziri wa mazingira alitangaza kuwa jumamosi ya kila mwisho wa mwezi ni siku ya usafi........ Mbona hatujakumbushwa ili tufanye kama siku ile ya Uhuru?? Maana wengi tumesahahu....!!

He!.....owkey......wacha nikafagie......
 
Huo mpango hauko sustainable.
Kati ya mambo waliyokurupuka ni huo mpango, eti kisa Rwanda wanafanya hivyo nasi tukaiga. Inabidi kampeni kama ile ya siku ya kwanza kwa mwaka mzima ili watu wazoee.
 
Leo ni siku ya Kumwabudu Bwana Mungu wetu
Poor religious mind, worships days, moon, Sun and objects.
And after, pretend to rationalize their faith as an excuse.
Fanyeni Usafi kila ukichafua.
Je choo cha kanisani hakisafishwi siku ya leo?
Kama hakisafishwi basi kanisa hilo ni wachafu kweli kweli.
Na kama ni wachafu basi hakuna haja ya kutumia vyoo vyao.
Huko kanisani wanafundishana uchafu na si Usafi wa Roho na Mwili.
Je, watafikia tamaa yao kweli?
 
Poor religious mind, worships days, moon, Sun and objects.
And after, pretend to rationalize their faith as an excuse.
Fanyeni Usafi kila ukichafua. Je choo cha kanisani hakisafishwi siku ya leo?
Haya tajiri wa mind.
 
Hao wenyewe waliotangaza, wamesahau. ..........
noma sana mkuu..
watachoka mapema nahisi..
Mabasi ya dart hadi leo hayajaingia kwa barabara..na walisema january 16 ingekua haya ferry mnazi kariakoo ubungo..
 
Back
Top Bottom