Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
SWALI LANGU ..mnapigaje marufuku uvutaji wa sigara huku viwanda bado vipo na vinafanya kazi au ndo mnaon kila mtu mtoto mdogo.uchunguzi unaonesha kuwa uvutaji wa sigara Tanzania ni wa huru zaidi ukilinganisha na nchi ya jirani ya kenya.
Tanzania watu wanavuta sigara hadharani, kwenye mikusanyiko ya watu, kumbi za starehe jambo ambalo ni hatari hata kwa wasiovuta sigara.
kitu cha kuwekwa wazi. uvutaji wa bange umeharamisha ( thus wamezuia/ wamepiga mrufuku) why not cigarette?
Isipigwe marufuku bali ikomeshwe kama mnataka na mna nia ya dhati..... We unamwambia mtoto marufuku kutembea tembea huku unampa usafiri akueleweje?