Leo ni Siku ya Marais duniani / ulimwenguni naitafuta ' Twiti ' ya Rais wangu nione ' kachangia ' nini kama wenzie siioni

On behalf of 2020 leaving stone, I would like to congratulate me and my country for their enternal patriotism that they have toward this country. And I urgue them to ignore those who questions our leadership They have been the heart of my heart, the center of my country. Thank you all.
 
Kama kuna aliyeiona ' Twiti ' yoyote ile ya Rais wa Kisiwa cha Puerto Rico hasa katika Maazimisho ya Siku ya Marais duniani / ulimwenguni leo naomba aniwekee hapa niione tafadhali ameandika nini kwani Wenzake wengi tu leo wametiririka na kuserereka kwa ' Twiti ' mbalimbali zenye maneno ya Hekima na Maendeleo kwa nchi zao.

Nawasilisha.
Tweet haiwezi kukusaidia chochote wala haiwezi kulisaidia Taifa kusonga mbele bali kazi ni vitendo.Kama ni maneno mazuri hata wewe naamini unayo lakini usikute huna maendeleo mkuu.Ni mtazamo tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi kuona Thread yako mkuu. Nilishakua na wasiwasi baada ya kutoona maandishi yako kwa muda. Ulikia ni wasiwasi wangu kua watiifu wa Puetro Rico wameshafanya yao.

Nalindwa na vingi Mkuu ondoa shaka / hofu. Nilienda ' Kutambika ' kidogo na sasa nimerejea Kivingine na tupo pamoja / pamoko.
 
The picture speaks louder...
IMG_20190220_112110_561.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom