Leo ni Siku ya Marais duniani / ulimwenguni naitafuta ' Twiti ' ya Rais wangu nione ' kachangia ' nini kama wenzie siioni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,533
2,000
Kama kuna aliyeiona ' Twiti ' yoyote ile ya Rais wa Kisiwa cha Puerto Rico hasa katika Maazimisho ya Siku ya Marais duniani / ulimwenguni leo naomba aniwekee hapa niione tafadhali ameandika nini kwani Wenzake wengi tu leo wametiririka na kuserereka kwa ' Twiti ' mbalimbali zenye maneno ya Hekima na Maendeleo kwa nchi zao.

Nawasilisha.
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,459
2,000
Mkuu kwani unadhani Mzee mzima ni mtu wa ku-tweet??

Ukiiona tweet ujue ameandikiwa na yule jamaa yake Musigwaaaa......
 
KWADWO ABIMBOLA

JF-Expert Member
Jan 8, 2019
763
1,000
Mkitoa test muwe mnatangaza. Test zenyewe za kuvunja yai(spelling and grammar). Muwe mnatoa taarifa angalau wiki moja kabla tujiandae na kuhakiki kabla ya ku-twiti.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,533
2,000
Mkuu kwani unadhani Mzee mzima ni mtu wa ku-tweet??

Ukiiona tweet ujue ameandikiwa na yule jamaa yake Musigwaaaa......

Tafadhali siizungumzii hapa nchi ya Tanzania wala Rais wake bali nakizungumzia Kisiwa changu tu cha hapa Puerto Rico. Muwe mnasoma Uzi kwa umakini kabla ya Kuchangia vile ambavyo mnadhani nyie. Nasisitiza tena hapa nakiongelea Kisiwa cha Puerto Rico na siyo mahala pengine popote au Kumzungumzia Mtu yoyote.
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
5,200

Usijifanye mjuaji..puerto rico ni jina la nchi..kama unataka anzisha jukwaa lako uwaweke raia wa puerto rico..wabongo mna kutu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,419
2,000
Kama kuna aliyeiona ' Twiti ' yoyote ile ya Rais wa Kisiwa cha Puerto Rico hasa katika Maazimisho ya Siku ya Marais duniani / ulimwenguni leo naomba aniwekee hapa niione tafadhali ameandika nini kwani Wenzake wengi tu leo wametiririka na kuserereka kwa ' Twiti ' mbalimbali zenye maneno ya Hekima na Maendeleo kwa nchi zao.

Nawasilisha.
Geny acha kupotosha watu. President Day ilikuwa juzi sio Leo. We Geny Geny Geny.Narudia tena wacha uzwazwa
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,956
2,000
Dvelopment has no party...We are on right track. Actually now we have seven aeroplanes including dreamliner where CCM member can climb it as well as CHADEMA member can climb it....Iam repeating again development has no party. Thank you very much.

#MagugunaJP
 
Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,629
2,000
Kama kuna aliyeiona ' Twiti ' yoyote ile ya Rais wa Kisiwa cha Puerto Rico hasa katika Maazimisho ya Siku ya Marais duniani / ulimwenguni leo naomba aniwekee hapa niione tafadhali ameandika nini kwani Wenzake wengi tu leo wametiririka na kuserereka kwa ' Twiti ' mbalimbali zenye maneno ya Hekima na Maendeleo kwa nchi zao.

Nawasilisha.

Hajui hata maana ya "twiti" achilia mbali kuwa kuna siku ya marais.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom