Leo ni Siku ya kukumbatiana Duniani!

Lakini hizi siku wengine hatujawahi kuzisikia ..so kila unayekutana nae mnakumbatiana eeeh??
 
Lakini hizi siku wengine hatujawahi kuzisikia ..so kila unayekutana nae mnakumbatiana eeeh??

First Lady 1, hata mie nimeisikia wameitangaza hii siku kupitia Clouds leo asubuhi, sijui maudhui yake yamekaaje vile! kama ni kila unayekutana naye, loh leo ipo kazi!
 
Je, hii siku ina umuhimu wowote?

Ati NINI?

kukumbatiana!

Tutaona mengi kabla ya mwisho dunia!

Siku ya mtoto wa Africa
Siku ya Ukimwi
Siku ya akina mama
Siku ya kucheka
Siku ya kula
Siku ya kuimba
Siku ya nyumba ndogo
Siku ya wahaya
Siku ya makabila yote ya Tanzania
Siku ya wanaume
Siku ya machangudoa
Siku ya...
Siku ya ....
Siku ya ....
Mpaka
Siku ya Kufa
 
First Lady 1, hata mie nimeisikia wameitangaza hii siku kupitia Clouds leo asubuhi, sijui maudhui yake yamekaaje vile! kama ni kila unayekutana naye, loh leo ipo kazi!

mpaka kufikia jioni tushanuka vikwapa na harufu zisizojulikana ...
 
Lakini hizi siku wengine hatujawahi kuzisikia ..so kila unayekutana nae mnakumbatiana eeeh??
Mimi naona leo nikumbatiane na firstLady1! Sijui nitapigwa ngumi? Wenye wivu niwasikie hapa hapa. Ugomvi mie simo. Nakumbatiana tu halafu biashara inaishia hapo.

Leka
 
Hug na chinga mwenye viatu, hug na konda, hug na wabeba mizigo kariakoo, hug na maCD, hug na barmaid, hug na mademu njiani. Kazi ipo maana kila mtu amejipulizia pafyumu yake, sasa hiyo mixture ukifika nyumbani watoto watakukimbia
 
Siku ya kukumbatiana! Hata sipati picha,First Lady leo husitoke,maana watu wengine wanakumbatiana nusu saa nzima,jamani si siku ya kukumbatiana?

Nadhani imesahaulika suku moja tu,Siku ya Mafisadi Tanzania.Alafu Baba Enock kwa kuwapendelea Wahaya,katika makabila zaidi ya 120 Tz umeona tu iwepo tu siku ya Wahaya tu,labada utwambie WHY siku ya wahaya tu,Actually and of course
 
jamani hii imekaa vizuri nimeipenda na kwa kuanzia na wabuku firstlady na pearl nakumbatia weeeeeeee mpaka basi
 
Lets hug our computers to express some love for all JF members
 
jamani hii imekaa vizuri nimeipenda na kwa kuanzia na wabuku firstlady na pearl nakumbatia weeeeeeee mpaka basi
Drphone sasa wewe mchokozi. Mwenzio nilibook Firstlady1 tangu mapema, hafu unasema wewe utakumbatia sana wote wawili. Utaumia weweeee. Tugawane basi, niachie FirstLady1 kuwa muungwana. Tena wewe dr. Si unajua madr walivyo waungwana? Uliapa utakuwa muungwana mpaka kufa umesahau?

usikonde nitakupa ila kwa sekunde
 
eeeeeeeh sikujua umesema unanikumbatia,haya moja....,mbili....tatuuuuuuuuu,shika kiuno changu na mimi nikushike nyuma ya shingo na mikono yoote miwili,alafu chumm,mwaaaaaaaaah
weweeeeeeeee fita ni fita muraaaaaaaaaaaa
 
eeeeeeeh sikujua umesema unanikumbatia,haya moja....,mbili....tatuuuuuuuuu,shika kiuno changu na mimi nikushike nyuma ya shingo na mikono yoote miwili,alafu chumm,mwaaaaaaaaah

yani nasikiarahaaaaaaaaaaaaaaaa utamu rahaaaaaaaaaaaaaa utamu haya wenye wivu wajinyonge sasa mm kiulainiiiiiiiii yani anajoto tamu la wastani
 
Back
Top Bottom