Leo Ni Siku Ya 12402

Leo Ni Siku Ya 12402

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,795
Reaction score
9,153
Hizo ndio siku ambazo nimeishi mpaka sasa. Unaweza kugundua nilizaliwa lini!? Je, ushawahi kujiuliza umeisha siku ngapi mpaka sasa, maana tumezoea kuhesabu miaka tu.

Atakayepatia nitamtumia vocha ya 1000 ya mtandao anaotumia.
 
Safi sana.
Umepatia Mrembo.
Nitumie tu no yako nikurushie buku yako.
hahahaha unataka kupata namba kijanja wewe ngastuka
nunua vocha ya airtel ukishakwangua nakili namba za vocha afu nitumie kwa pm isiwe used tu lol
 
Kumbe wewe kajanja kama sungura
 
harakati kama za pimbi sema umekosa ubunifu ila utapata namba kaza tu
 
hahahaha unataka kupata namba kijanja wewe ngastuka
nunua vocha ya airtel ukishakwangua nakili namba za vocha afu nitumie kwa pm isiwe used tu lol

Miss neddy acha uswahili bhana!

Embu soma makubaliano yetu:

...Atakayepatia nitamtumia
vocha ya 1000 ya
mtandao anaotumia.
 
Mwaka una wastani wa siku 365. Miezi nane ni wastani wa siku 240. Hivyo 12402-240=12162!

12162/365=33.32054795

0.32054795*365= siku 117

Hivyo miaka 33 +siku 117+240 ni miaka 33 na siku 357 hivi. Kwa ufupi ulizaliwa mwezi August au Sept mwishoni mwaka 1981 na kimsingi una miaka kama 34 hivi.
 
Hivyo miaka 33 siku 117 240 ni miaka 33 na siku 357 hivi. Kwa ufupi ulizaliwa mwezi August au Sept mwishoni mwaka 1981 na kimsingi una miaka kama 34 hivi.

kwa tarehe kamili "fx=now()+1-12402" kisha badilisha kichumba cha excel kisome tarehe
 
Naisubiria vocha yangu, maana nimekuwa wa kwanza kupatia jawabu sahii. Vocha ya tigo au voda itakuwa poa JAYJAY
 
Last edited by a moderator:

Prof Gamba, akhsante kwa kujaribu hauko mbali na ukweli ila ninachohitaji ni tarehe husika yaani birthday. Bado una nafasi Mkuu kwani hakuna aliyepatia mpaka sasa.
 
Last edited by a moderator:
Mwaka una wastani wa siku 365. Miezi nane ni wastani wa siku 240. Hivyo 12402-240=12162!

12162/365=33.32054795

0.32054795*365= siku 117

Hivyo miaka 33 +siku 117+240 ni miaka 33 na siku 357 hivi. Kwa ufupi ulizaliwa mwezi August au Sept mwishoni mwaka 1981 na kimsingi una miaka kama 34 hivi.

Mkuu CHAZA umetiririka vizuri sana. Kati ya wote wewe ndio uko karibu zaidi ya ukweli ingawa bado haujapatia. Unaweza kujaribu tena.
 
Kila baada ya miaka minne tunapata mmoja unasiku 366, kwa umri wako JAYJAY ulikutana na mwaka mkubwa mara nane. Kwa hisabu hiyo umezaliwa 1980
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom