Kila baada ya miaka minne tunapata mmoja unasiku 366, kwa umri wako JAYJAY ulikutana na mwaka mkubwa mara nane. Kwa hisabu hiyo umezaliwa 1980
Mkuu Utafiti akhsante kwa kujaribu na kutoa angalizo muhimu la mwaka mrefu. Hauko mbali na ukweli ila ungenitajia tarehe husika yaani siku, mwezi na mwaka husika.