Leo Ni New Year; Birth Day Na Wedding Anniversary Yangu

Hahahaha hiyo ingine bana acha nlitaka ni ku PM, kumbe umeoa bana. Nway msalimu huyo mother house.

Heee jamani, kwani kum-PM mtu kunagomba bandugu? Ubaya wake ni nini? Kwa kuwa nimeoa ndo si ruhusa kuni-PM? Unless kama sijakuelewa.
 
Good for both of u
hope ur night was ******* pole kwa uchovu lol:whoo::whoo::whoo:msisahau kukandana viuno:whoo::whoo::whoo:

Habari ya Maria Roza, aisee nlienda Arusha nikajitambulisha mi Maria Roza wakuu wakabisha hadi mwisho. Ila kiboko ilikuwa FL kujiita da sophy, PJ kadondoka chini gafla.
 
Hahah haha ww kweli kiboko umenifanya nicheke hadi bas sipati picha ilikuwaje yani wewe MR na First lady Da soph haha haha kweli ilikuwa funga mwaka!:whoo::whoo::whoo::whoo:
 
Hapo juu, LD na MR rudini kwenye sredi...halafu wote kwa pigo happy new year 2011

Baada ya hayo sasa nimpongeze mkuu Superman kwa siku ya leo, amesema Mzee Mwanakijiji kwamba ni BirthMarryNew...LOL!!!!!

Leo naona itakuwa kula bata tu kwa superman

Halafu MR Mbona mwaliko wako haufiki tu?:redfaces:
 
Happy new year too brother,'amba kindo msasha' Nimerudi kwene sred kaka manake huyu jamaa anarefusha mjadala tu hapa.
 
Watu Kaizerrrrrr mhh nahisi kuna uchakachuaji hapo kati si bure!!
happy new year
karibu Ulanzi:whoo::whoo:
 
haha kuna mtu amekuwa labda slow learner, sasa mpeleke taratibu mshiki....>! LOL leo mbege wapi sasa?
 
Njoo tunywe mbege....of course ulanzi unahusu sana...wa wapi huo, gangilonga ama wa mafinga?:hungry::whoo:
 
Naona tutaipitia kwa baba Sunday mi na Teamo afu tutaibeba kwene kidumu mpaka jj kaka.
 
Njoo tunywe mbege....of course ulanzi unahusu sana...wa wapi huo, gangilonga ama wa mafinga?:hungry::whoo:

Yesuuuuu mbege naogopa kitambi mie haha haha ulanzi wa Ilembula:hungry::hungry: karibuuuuuuuu:hungry::hungry:

Nilisahau naomba iyo beer mwaya
 
avatar11959_7.gif

umepata MR....wewe tena...."the winner takes it all"

Ilembula unanikumbushia pia pamoja na ulanzi kuna mafuta ya alizeti kwa wingi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom