Wanasema ni 3 in 1.
Sijui ilitokea vipi hadi ikawa hivi. Ila 1st January kila mwaka ni:
- Siku ya Kwanza ya Mwaka Mpya
- Ni siku yangu ya Kuzaliwa
- Ni siku tuliyofunga ndoa na shemeji yenu.
Nawatakia Wote Heri ya Mwaka Mpya yenye furaha tele na mapumziko mema pamoja na familia zenu.
God Bless You All.
Hongera sana Mkuu wewe na wifi yangu
Hii tarehe ya arusi alichagua wifi au ulidectate wewe?? Imekaa vere vere nimekukubali
So wewe na Babu Bigi ni mapacha.....................Happy birthday, Happy Annivesary and Happy New Year
Asante sana MR. We real need these kind of wishes.
Wish you a Prosperous New Year 2011 to you and the one u love most and least.
Wanasema ni 3 in 1.
Sijui ilitokea vipi hadi ikawa hivi. Ila 1st January kila mwaka ni:
- Siku ya Kwanza ya Mwaka Mpya
- Ni siku yangu ya Kuzaliwa
- Ni siku tuliyofunga ndoa na shemeji yenu.
Nawatakia Wote Heri ya Mwaka Mpya yenye furaha tele na mapumziko mema pamoja na familia zenu.
God Bless You All.
Haaa haaa FL bado kalala maana jana kanipeleka viwanja vingi hadi majogoo . . . Ni ushamba wangu huu ikawa shida tu . . .
MPH; SL; L8 na kumalizia kwa JD MP. Ilikuwa balaa.
Imekaa vizuri coz by default lazima Pilao liliwe hapa. Happy bdey, happy new year, happy hio ingine pia. But mbona hutukaribishi bana, matukio yote hayo washerehekea peke ako.
Haaa haa Babu nimeupenda ubunifu wako . . . BIRTHMARRNEW . . . . LOL
Wasaa ukipatikana nitakupigia Mkuu. Kuna issues za kuweka sawa.
Good for both of u
hope ur night was ******* pole kwa uchovu lol:whoo::whoo::whoo:msisahau kukandana viuno:whoo::whoo::whoo:
Duh LD bana . . . hiyo nyingine ni ipi mbona unashindwa kuitaja? Kuna mushkeli?
Karibu Sana Mkuu. Barabara zote leo Pugu Hills ama Mkuranga ama Lindi . . . . Haaa haaa kuna viota vya nguvu huko. karibu sana.
The night was what???
Kukandana viuno tumekwambia tunaumwa viuno? Tutake radhi tafadhali kabla hujapigwa ban . . . LOL
Wewe mtoto . . . tuko jukwa la MMU si la MYK.
Last warning . . . . Ivuga yupo?