Leo ni mwisho kabisa nimechoka

Leo ni mwisho kabisa nimechoka

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,017
Hivi wanajamvi ukimkataza mkeo usiwasiliane na mtu ambaye una mashaka naye naye akaendelea tena namba yake hiyo hajaiandikia jina ina manisha namba hiyo haiko kwenye phonebook yake anamanisha nini? Na achukuliwe hatua gani na je nifanyeje ili niweze pata mawasiliano yao vizuri.
 
either ni kiburi na kujifanya kutosikia kwamaana ya kuingilia uhuru wake wa mawasiliano au kuna kitu kinaendelea ambacho si kizuri kati yao na ndio maana hataki kuisave hyo namba.......
cha msingi mueleze usivyopendezwa na hilo jambo na utoe msimamo wako kama mwanaume..na umuulize hyo no ni ya nani pia hata ww unaweza cheki hyo no imesajiliwa kwa jina gani pia
 
Imenikumbusha mbali. Naomba baada ya miezi mi3 uje tena hapa utuambie nini kinaendelea.
 
Mkuu mawasiliano kwenye mahusiano ni noma sana , ukita uamini uliza watoto & wake wa geti kali lenye milango saba ya grill , msosi wa draft, na mbwa mkali,walivyong'olewa na kutafunwa kama una nawa , na wahusika waliowazuia kubaki wana shangaa kwa kutoamini kilicho wapata wapendwa wao .
Amini kabisa mkuu ,Kama huyo mtu wako anajua nini anakitafuta kwa huyo jamaa , fahamu tu huwezi mdhibiti kamwe kwani utashindwa kufanya mambo yako mengine ya maendeleo kwa kuwaza kazi za "night support na KK security".
 
nakushauri ndugu fanya yako achana na huo ujinga wa kufatilia simu za mkeo mwanamke akiamua kitu huwezi kumzuia....we dili na mambo ya kutafuta kipato kuendeleza familia na hakikisha unatoa dozi ya kutosha kama kila kitu unampa basi kilichobaki ni kumpa dozi stahiki atatulia na namba ataisahau ila kama hilo namba ni ya jamaa na ana mahusiano nae basi ujue jamaa anatoa dozi stahiki mpaka namba mkeo hawezi sahau inawezekana hata yako haijui hadi acheki 4nebook....dozi ndio kila kitu pesaa baadae
 
Mkuu mawasiliano kwenye mahusiano ni noma sana , ukita uamini uliza watoto & wake wa geti kali lenye milango saba na mbwa mkali,walivyong'olewa na kutafunwa kama una nawa , na wahusika waliowazuia kubaki wana shangaa kwa kutoamini kilicho wapata wapendwa wao .
Amini kabisa mkuu ,Kama huyo mtu wako anajua nini anakitafuta kwa huyo jamaa , fahamu tu huwezi mdhibiti kamwe kwani utashindwa kufanya mambo yako mengine ya maendeleo kwa kuwaza kazi za "night support na KK security".

na kweli amwache tu afanywe na asimpe tena dudu
 
Kiongozi, hata wewe si una pa kupooza koo baada ya kuisaka hiyo pesa? Tunawaza na kuisaka pesa lakini pia love ina nafasi yake ujue...!

Sijakataa ila siwezi kupoteza muda na akili yangu kumcontrol binadamu mwenye akili zake.

Vigezo na masharti kuzingatiwa na Elli amenisaidia kujibu hapo juu.
 
Back
Top Bottom