The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,363
- 27,336
Ndiyo jamaa yetu hapo juu amesema leo ni January mosi nikaona nimuulize mwaka gani hiyo January yake?January?
Simuoni akijibu labda anatafuta kwenye calendar yake aje na jibu linaloeleweka.
Ndiyo jamaa yetu hapo juu amesema leo ni January mosi nikaona nimuulize mwaka gani hiyo January yake?January?
Papa Gregory aliandika kuzingatia terehe ya Kuzaliwa Yesu Kristo na sio yeye:Yesu hana kalenda sema kalenda ya Papa Gregory
Hapo pote mmepigwa tu Musa hajaandika Torati🤣🤣Papa Gregory aliandika kuzingatia terehe ya Kuzaliwa Yesu Kristo na sio yeye:
Yaani Leo ni Jumatano Tarehe 17/06/2026 baada ya Kuzaliwa Yesu Kristo na sio Gregory:
Ni kama Musa alivyo iandika Torati:
Hali ya kuwa Torati ni ya Mungu na sio yake:
Lakini amesema sawa na...Ndiyo jamaa yetu hapo juu amesema leo ni January mosi nikaona nimuulize mwaka gani hiyo January yake?
Simuoni akijibu labda anatafuta kwenye calendar yake aje na jibu linaloeleweka.
Tufanye hivi kukufurahisha na ujinga wenuHapo pote mmepigwa tu Musa hajaandika Torati🤣🤣
Yesu haitambui hiyo kalenda huyo Papa wenu alijiamulia tu tena kwa kufuata kalenda ya wapagani🤣🤣
Ukweli unauma 🤣🤣Tufanye hivi kukufurahisha na ujinga wenu
Torati aliandika Muhamadi kwa amri ya Allah:
Leo nenda Uarabuni waambie ulizaliwa Mwezi Shaabani Mwaka wa Arafa kama hutaonekana taahira:
Mjinga asiyejua hata kusoma a,b,c aliwaharibu akili sana na mnamwabudu na kumswalia Hadi Allah wenu na Malaika zake:
Nenda NIDA kawaambie ulizaliwa Mwezi Shawwal Mwaka wa Hija (Hijri) kama hawata kutimua;
Mbaf zenu
Aliandika Muhamadi:Ukweli unauma 🤣🤣
Tunatumia kalenda ya Julias Caesar na Pope Gregory na sio Yesu🤣🤣🤣
Torati yenu haikuandikwa na Musa ila iliandikwa na wahuni huoni wanaripoti mpaka taarifa za baada ya kifo cha Musa
Shtuka!🤣🤣
Tupe ushahidiKabla ya Adam mfululizo wa miezi yetu ulikuwepo ila tulianza kuhesabu upya baada ya hijra ya Mtume
01/Muharami/1448Mtoa mada kamilisha habari yako:
Ungeandika Kiislamu Leo ni Tarehe Fulani/Mwezi Fulani na Mwaka Fulani/ na ikiwezekana Siku Fulani
Mfano:
Leo ni Jumatano Tarehe 17/06/2025 kutokana na Kalenda ya Yesu Kristo:
Nasikia huu ni Mwezi Muharram
Hapana Wanatumia Calendar Ya MakafriKwa hiyo saudi arabia na kwingine kwenye uislam mwingi wanatumia mwaka wa kiislam kwenye shughuli zao za kila siku? Ina maana huko hawatumii gregorian calendar? Vipi wakipewa kuandaa events za kimataifa watatumia mwaka wa kiislam?
safi sana, makafiri ndio wanaopanga dunia iendeshwe vipi. Watawala wa dunia hii ndio makafiriHapana Wanatumia Calendar Ya Makafri
Ambao Ndiyo Wanaoiendesha Dunia Yote Mpaka Kwa Waislam
Hakuandika Muhammad waliandika wahuni🤣🤣Aliandika Muhamadi:
Bisha tuone
Qur’an 9:36Tupe ushahidi
Kwa hiyo tangu allah aumbe dunia leo ni mwaka 1448?Qur’an 9:36
Unaelewa nilichoongelea mpaka ukasema lete ushahidi?Kwa hiyo tangu allah aumbe dunia leo ni mwaka 1448?