Leo ni mwaka mpya wa kiislamu

Leo ni mwaka mpya wa kiislamu

Yesu hana kalenda sema kalenda ya Papa Gregory
Papa Gregory aliandika kuzingatia terehe ya Kuzaliwa Yesu Kristo na sio yeye:
Yaani Leo ni Jumatano Tarehe 17/06/2026 baada ya Kuzaliwa Yesu Kristo na sio Gregory:

Ni kama Musa alivyo iandika Torati:
Hali ya kuwa Torati ni ya Mungu na sio yake:
 
Hapo pote mmepigwa tu Musa hajaandika Torati🤣🤣

Yesu haitambui hiyo kalenda huyo Papa wenu alijiamulia tu tena kwa kufuata kalenda ya wapagani🤣🤣
 
Ndiyo jamaa yetu hapo juu amesema leo ni January mosi nikaona nimuulize mwaka gani hiyo January yake?

Simuoni akijibu labda anatafuta kwenye calendar yake aje na jibu linaloeleweka.
Lakini amesema sawa na...
 
Hapo pote mmepigwa tu Musa hajaandika Torati🤣🤣

Yesu haitambui hiyo kalenda huyo Papa wenu alijiamulia tu tena kwa kufuata kalenda ya wapagani🤣🤣
Tufanye hivi kukufurahisha na ujinga wenu
Torati aliandika Muhamadi kwa amri ya Allah:
Leo nenda Uarabuni waambie ulizaliwa Mwezi Shaabani Mwaka wa Arafa kama hutaonekana taahira:
Mjinga asiyejua hata kusoma a,b,c aliwaharibu akili sana na mnamwabudu na kumswalia Hadi Allah wenu na Malaika zake:

Nenda NIDA kawaambie ulizaliwa Mwezi Shawwal Mwaka wa Hija (Hijri) kama hawata kutimua;
Mbaf zenu
 
Ukweli unauma 🤣🤣

Tunatumia kalenda ya Julias Caesar na Pope Gregory na sio Yesu🤣🤣🤣

Torati yenu haikuandikwa na Musa ila iliandikwa na wahuni huoni wanaripoti mpaka taarifa za baada ya kifo cha Musa
Shtuka!🤣🤣
 
Aliandika Muhamadi:
Bisha tuone
 
Mtoa mada kamilisha habari yako:
Ungeandika Kiislamu Leo ni Tarehe Fulani/Mwezi Fulani na Mwaka Fulani/ na ikiwezekana Siku Fulani
Mfano:
Leo ni Jumatano Tarehe 17/06/2025 kutokana na Kalenda ya Yesu Kristo:

Nasikia huu ni Mwezi Muharram
01/Muharami/1448
 
Kwa hiyo huu ni mwaka 2026 au 1448? means kila mtu sasa anaweza kujianzia hesabu ya miaka yake na miezi yake!
 
Kwa hiyo saudi arabia na kwingine kwenye uislam mwingi wanatumia mwaka wa kiislam kwenye shughuli zao za kila siku? Ina maana huko hawatumii gregorian calendar? Vipi wakipewa kuandaa events za kimataifa watatumia mwaka wa kiislam?
 
Kun Faya Kun
Islam Dini
☪️ Islam ☪️ Nadhifu
 
Kwa hiyo saudi arabia na kwingine kwenye uislam mwingi wanatumia mwaka wa kiislam kwenye shughuli zao za kila siku? Ina maana huko hawatumii gregorian calendar? Vipi wakipewa kuandaa events za kimataifa watatumia mwaka wa kiislam?
Hapana Wanatumia Calendar Ya Makafri
Ambao Ndiyo Wanaoiendesha Dunia Yote Mpaka Kwa Waislam
 
Back
Top Bottom