Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Tarehe kama ya leo, miaka mitatu iliyopita mmoja wa wanamuziki mahiri kuwahi kutokea katika muziki wa Bongo fleva, Albert Mangwea alifariki dunia huko South Africa.
Ngwea atakumbukwa zaidi kwa mchango wake katika kuukuza muziki wa bongofleva kwa vibao vyake vikali kemkem. Kifo chake cha ghafla kilizua maswali mengi ambayo yalikosa majibu ya kina mpaka leo.
Tumuombee mpendwa wetu aendelee kupumzika kwa amani huko aliko kwani hakuna atakayedumu kwenye hii dunia.
Katika kutimiza miaka hii mitatu toka atutoke ghafla, ni nyimbo gani toka kwake ilikuvutia sana?