Ndio nini sasa hiki...[emoji57]
Naomba mtupe na sababu za wao wenyewe kujishambulia walikuwa na maana gani?
unafikiri wangeingiaje afghanistan ambapo walikuwa wanagombea kuchimba gas na kampuni ya argentina ilyokua inaelekea kuwashinda?!..wataleban walikataa mkataba wao wa kinyonyajiNaomba mtupe na sababu za wao wenyewe kujishambulia walikuwa na maana gani?
mie nafrahi mno hahhaha tih tih tih wamarekani wanajikuta wababe sana.Nakumbuka nilikuwa marekani, Maryland, upper Marlboro. ..ilisikitisha walahi. .RIP waliopoteza maisha. ..totally sad
Kama hii ni kweli ina maana walipanga pia mashambuluzi ya balozi zao in '98, ambapo kuna Watanzania wenzetu na Wakenya walipoteza maisha? cos inaonyesha kuwa kwenye mlengo mmoja...maajabu haya.
mie nafrahi mno hahhaha tih tih tih wamarekani wanajikuta wababe sana.
but pole sana kwa ndugu zetu hapa bongo inauma ila hao wamarekani acha wafe tena wote na taifa lao liteketee kwani wameharibu sana nchi ndogo.
natumai osama mwingine mimi ntazaliwa
nahisi kama uko moyoni mwangu vile, nachukia sana hili taifa😛 nilitamani sana pentagon ipigwe,tena akiwemo na raisi wao yule ********
nahisi kama uko moyoni mwangu vile, nachukia sana hili taifa
Mimi pia siwapendi lakini NATHAMINI UTU. ...UHAI WA BINADAMU NI UTUKUFU WA MWENYE ENZI MUNGU. ...mwogope MAULANA MOLA wetu. ...nakutakia IDD MUBARAK my friendmie nafrahi mno hahhaha tih tih tih wamarekani wanajikuta wababe sana.
but pole sana kwa ndugu zetu hapa bongo inauma ila hao wamarekani acha wafe tena wote na taifa lao liteketee kwani wameharibu sana nchi ndogo.
natumai osama mwingine mimi ntazaliwa
nashukuru ila wamarekani katili sana hawa watu.Mimi pia siwapendi lakini NATHAMINI UTU. ...UHAI WA BINADAMU NI UTUKUFU WA MWENYE ENZI MUNGU. ...mwogope MAULANA MOLA wetu. ...nakutakia IDD MUBARAK my friend
uelewa wao mdogo wala usiwalaumu maana hawajui watendalo. ila kama kuna anejuwa wamarekani vizuri sidhani kaama atafungua kinywa chake na kusema anawapenda.Kuna ambao wanalipenda sana hapa bongo,na wamo humu jf wanatucheki tu,na ndio haohao wanatumia vyandarua vya "msaada wa marekani"
Acha kujidanganya wewe, au kisa umeskia WTC ilijengwa vya vyuma kana kwamba haitapata mashambulio wala tatizo lolote?Conspirancy
Pole nilisahau kuwa unatumia nokia tochi na huwezi kufuata link, nisamehe sana kwa hili, siku nyingine nitajirekesha, Alafu umejuaje kuwa nimechafua thread wakati wala hujasoma link?Ndio nini sasa hiki...[emoji57]
Kama una haja ya kutuwekea maelezo kwanini usiweke?
Ninyi ndio mnao chafua thread za watu humu...[emoji16] [emoji16]
Osama hajauawa wewe...endelea kushikwa masikioOsama aliyefunuliwa komwe Navy SEAL team 6?
😀😀
tena wakichapwa tena itakuwa powa sana...wameua . watu wengi innocentNakumbuka nilikuwa marekani, Maryland, upper Marlboro. ..ilisikitisha walahi. .RIP waliopoteza maisha. ..totally sad
Sawa mkuu.Pole nilisahau kuwa unatumia nokia tochi na huwezi kufuata link, nisamehe sana kwa hili, siku nyingine nitajirekesha, Alafu umejuaje kuwa nimechafua thread wakati wala hujasoma link?