DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,315
- 2,739
Osama hajauawa wewe...endelea kushikwa masikio
Usimlaumu masikini ya Mungu' yupo dunia ya 4,chchote atakachodokezwa na mpuuzi anaamini.
Osama hajauawa wewe...endelea kushikwa masikio
Kweli kabisa. .....alafu inajifanya watetea haki. ...ninaamini hakuna binadamu anayeweza kushindana na Mwenye Enzi Mungu. .mtu huvuna alilolipanda milele hiyo ndiyo haki na kweli milelenashukuru ila wamarekani katili sana hawa watu.
kumbe ni dogo janja.😀😀😀😀😀
Happy Birthday Mkuu! 🙂
Nimeelewa mkuu ahsante kwa maelezo mazuriunafikiri wangeingiaje afghanistan ambapo walikuwa wanagombea kuchimba gas na kampuni ya argentina ilyokua inaelekea kuwashinda?!..wataleban walikataa mkataba wao wa kinyonyaji
mkuu unaweza kunipa evidence yoyote kuwa osama yupo hai?Osama hajauawa wewe...endelea kushikwa masikio
Usimlaumu masikini ya Mungu' yupo dunia ya 4,chchote atakachodokezwa na mpuuzi anaamini.
kwani osama amefichwa wapi? au yupo wapi?Usimlaumu masikini ya Mungu' yupo dunia ya 4,chchote atakachodokezwa na mpuuzi anaamini.
hakuna evidence yoyote inayothibitisha pasipo shaka kuwa Osama aliuawamkuu unaweza kunipa evidence yoyote kuwa osama yupo hai?
kama marekani walitoa evidence kuwa wamemuua osama,je unaweza kunipa evidence kuwa osama yupo hai?
kwani osama amefichwa wapi? au yupo wapi?
Au kuna mtandao wowote ulimuonesha osama akiongea kuwa yupo hai?
hahahhhhaaaaa, Sawa bwana.Sawa mkuu.
Kwa uchafuzi wa uzi, sababu ni kwamba yawezekana hata mleta uzi alikua anazijua link, lakini kwakua anatambua matumizi ya Nokia zetu za torch ndipo akaamua kutufanyia uungwana.
Alafu......
Hata hiyo lugha ya kufungulia hizo link, zilikuja na majahazi hata kufikia kutufanyia ukakasi sisi wa huku ushirombo.
Pamoja mkuu [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]hahahhhhaaaaa, Sawa bwana.
Hapa ndipo ninapomkumbuka mwanaume wa shoka Osama.
Mwenye picha yake aniwekee jamani,hasa ile maarufu aliyonyoosha kidole cha shahada juu.
Naam Maa Ash Allah [emoji8][emoji8][emoji8]
Naam Maa Ash Allah [emoji8][emoji8][emoji8]
Jaazakallahu Kharyan