NI vizuri leo kuwakumbuka mashujaa wa ki israel walikwenda kuwakomboa ndugu zao pale entebe nchini Uganda, mwaka 1976 usiku wa saa 12.32. Ni miaka thereathini na tano imepita lakini lile tendo la kishujaa ni kama vile limetokea jana asubuhi. Magaidi ya kipalestina yasiojua haki za binadamu yalitaka kuwachinja waisraeli 126 wakiwemo wazee, watoto na vijana kadhaa. Waliiteka nyara ndege ya kifaransa na kutua Uganda huku wakipata msaada mkubwa kutoka kwa Raisi wa uganda muda huyo hayati Nduli Idd amin dadaa. Israeli ili kuhakikisha inawakomboa raia zake wasiyo na hatia ilichagua makomandoo ambao kila mmoja wa makomandoo hayo alikuwa na ujuzi wa kuponea kifo chupuchupu vitani. Kijana Jonathan Netanyahu akiwa na miaka 28 aliongoza kikosi kilichowachinja magaidi wote wa kipalestina kwa muda wa dakika 45 tuu. Kwa kitendo hicho Israel ilikomesha magaidi wote duniani kutowanyanyasa raia wake wasio na hatia wakiwa safarini na kutoa onyo kwa nchi za kiafrica ambazo zilikuwa zinanunuliwa kusaidia kuwatesa wa Israeli kama vile Uganda.Tanzania tunajifunza nini na mafanikio haya ya israeli? Tujifunze kuwa ili kufanikiwa katika mazingira magumu ni jambo la maana sana kuchagua watu wenye sifa katika vitendo na elimu. Kuwa na elimu hakutoshi bali pia hiyo elimu lazima uifanyie matendo yanayoonekana kwa umma. Tusingekuwa na mgao wa umeme kama serikali ingefanya mateuzi kama yale ya liyofanywa na Israel kuwaokoa ndugu zao. Mungu libaliki taifa la Israel na sharon Ariel augue vema. amen!
Viongozi wetu ni kuua raia zake kwa gharama yoyote!Umenikumbusha ushujaa wa hawa jamaa, kuwalinda raia wao kwa gharama yoyote. Viongozi wetu wana la kujifunza kutoka kwa Waisrael
Filamu hii ni nzuri sana, kwa wanaoweza kuitafuta you tube inapatikana, search kwa kuandika "Entebbe raid" itakuletea. Ni filamu ya kishujaa kweli kweli.Mkuu asante kwa kutukumbusha tarehe hii muhimu ingawaje mimi binafsi haikuwa kwenye kumbukumbu zangu. Nina imani wengi wa members hapa hii itakuwa ni story mpya kbisa kuisikia lakini ukweli unabaki pale pale kwamba kitendo kile kilikuwa cha kishujaa mno. Labda kwa kuongezea ni kwamba Israel walimpoteza askari mmoja kwenye hiyo raid na huyo si mwingine bali ni Jonathan Netanyau aliyekuwa akikiongoza hicho kikosi cha makomandoo. Walitengeneza filamu ya hii kitu na nayejua jina la hiyo film atwambie kwa faida ya wale ambao hawaijui hii habari wanaweza kuangalia hiyo film. Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi hiyo filamu inaitwa 90 minutes at Entebbe!!!
Tiba
crap from crapist!NI vizuri leo kuwakumbuka mashujaa wa ki israel walikwenda kuwakomboa ndugu zao pale entebe nchini Uganda, mwaka 1976 usiku wa saa 12.32. Ni miaka thereathini na tano imepita lakini lile tendo la kishujaa ni kama vile limetokea jana asubuhi. Magaidi ya kipalestina yasiojua haki za binadamu yalitaka kuwachinja waisraeli 126 wakiwemo wazee, watoto na vijana kadhaa. Waliiteka nyara ndege ya kifaransa na kutua Uganda huku wakipata msaada mkubwa kutoka kwa Raisi wa uganda muda huyo hayati Nduli Idd amin dadaa. Israeli ili kuhakikisha inawakomboa raia zake wasiyo na hatia ilichagua makomandoo ambao kila mmoja wa makomandoo hayo alikuwa na ujuzi wa kuponea kifo chupuchupu vitani. Kijana Jonathan Netanyahu akiwa na miaka 28 aliongoza kikosi kilichowachinja magaidi wote wa kipalestina kwa muda wa dakika 45 tuu. Kwa kitendo hicho Israel ilikomesha magaidi wote duniani kutowanyanyasa raia wake wasio na hatia wakiwa safarini na kutoa onyo kwa nchi za kiafrica ambazo zilikuwa zinanunuliwa kusaidia kuwatesa wa Israeli kama vile Uganda.Tanzania tunajifunza nini na mafanikio haya ya israeli? Tujifunze kuwa ili kufanikiwa katika mazingira magumu ni jambo la maana sana kuchagua watu wenye sifa katika vitendo na elimu. Kuwa na elimu hakutoshi bali pia hiyo elimu lazima uifanyie matendo yanayoonekana kwa umma. Tusingekuwa na mgao wa umeme kama serikali ingefanya mateuzi kama yale ya liyofanywa na Israel kuwaokoa ndugu zao. Mungu libaliki taifa la Israel na sharon Ariel augue vema. amen!
Kweli mkuuNa kwa walle wanaofuatilia sana habari za kisiasa na kijeshi za huko mashariki ya kati watakuwa wanafahamu kwamba israeli ni miongoni au niseme ni nchi bora kabisa katika ulimwengu katika kulinda raia wake. Ni nchi yenye raia kama milioni sita hivi (na wayahudi ulimewenguni kote hawazidi milion 15) huku wakiwa wamezungukwa na mabilioni ya magaidi wa kiarabu na kipersia wanaotamani kila sekunde kuona lile taifa linapotea kwenye ramani ya dunia. Pamoja na Opersheni entebbe, hizi operesheni za kishujaa za kuokoa raia wake "behind enemy lines" israeli inazifanya almost on daily basis.
Mfano, kamanda Ehud Barak (waziri wa sasa wa ulinzi) mwaka 1972 wakati ule akiwa kijana wa miaka 30 mwaka aliweza kuongoza kikosi cha makomandoo kuokoa mateka wa ndege ya israeli iliyokuwa imetekwa na magaidi wa kiarabu na kuwaokoa wote "operesheni isotope". Mwaka 1986, makomandoo wa israeli walifanikiwa kuruka kwa ndege za kivita 15 kutoka israel kwenda iraki (umbali mrefu sana) enzi za dikteta saddamu hussein, huku wakivuka vikwazo vya rada za saudi arabia na jordan na kulipua kinu cha nuclear cha sadamu na kukipotezea kabisa. Hakuna ndege yeyote ya israel iliyolipuliwa.
Hata kama wewe ni mpenzi wa israel au adui yake, hata kama wewe unakubaliana au hukubaliani na siasa zake kwa majirani zake, matukio haya ya ujasiri, ushujaa, ufundi pamoja na umakini wa israel katika kulinda raia wake preemptively, defensively na offensively unaodhihirisha uwajibikaji usio na mfano wa israeli kwa wanachi wake. Ni kweli vyombo vya usalama vya Tanzania vinapaswa kujifunza jambo moja au viwili kutoka kwa hawa wezetu.
Na kwa walle wanaofuatilia sana habari za kisiasa na kijeshi za huko mashariki ya kati watakuwa wanafahamu kwamba israeli ni miongoni au niseme ni nchi bora kabisa katika ulimwengu katika kulinda raia wake. Ni nchi yenye raia kama milioni sita hivi (na wayahudi ulimewenguni kote hawazidi milion 15) huku wakiwa wamezungukwa na mabilioni ya magaidi wa kiarabu na kipersia wanaotamani kila sekunde kuona lile taifa linapotea kwenye ramani ya dunia. Pamoja na Opersheni entebbe, hizi operesheni za kishujaa za kuokoa raia wake "behind enemy lines" israeli inazifanya almost on daily basis.
Mfano, kamanda Ehud Barak (waziri wa sasa wa ulinzi) mwaka 1972 wakati ule akiwa kijana wa miaka 30 mwaka aliweza kuongoza kikosi cha makomandoo kuokoa mateka wa ndege ya israeli iliyokuwa imetekwa na magaidi wa kiarabu na kuwaokoa wote "operesheni isotope". Mwaka 1986, makomandoo wa israeli walifanikiwa kuruka kwa ndege za kivita 15 kutoka israel kwenda iraki (umbali mrefu sana) enzi za dikteta saddamu hussein, huku wakivuka vikwazo vya rada za saudi arabia na jordan na kulipua kinu cha nuclear cha sadamu na kukipotezea kabisa. Hakuna ndege yeyote ya israel iliyolipuliwa.
Hata kama wewe ni mpenzi wa israel au adui yake, hata kama wewe unakubaliana au hukubaliani na siasa zake kwa majirani zake, matukio haya ya ujasiri, ushujaa, ufundi pamoja na umakini wa israel katika kulinda raia wake preemptively, defensively na offensively unaodhihirisha uwajibikaji usio na mfano wa israeli kwa wanachi wake. Ni kweli vyombo vya usalama vya Tanzania vinapaswa kujifunza jambo moja au viwili kutoka kwa hawa wezetu.