Tundu Lisu aambiwe ukweli kwamba viwanja vya mwembe yanga vinaonwa na wazalendo wa nchi yetu kama viwanja vya ukombozi na utetezi wa rasilimali za nchi yetu Tanzania, vilipata hadhi hiyo baada ya Dk Slaa kusimama pale na kutangaza list of shame ya mafisadi na wasaliti wa nchi yetu.
Kitendo cha Tundu Lisu ambaye ni msaliti kwenda kusimama pale mwembe yanga hakikubaliki na ni tusi kubwa kwa wazalendo wa nchi yetu.
Leo ni siku ya huzuni mno kwa taifa la Tabzania maana msaliti wa taifa Lisu mzee wa MIGA anarudi.
Mwambieni asipande ndege zetu maana alishangilia zilipokamatwa.