Leo ni JUMATANO: Wanachama wa SIMBA wamefika BUNGENI????

NKUU SINDE KWETU

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
830
91
JF Salaam,
Wanachama wa Simba Sports Club (SSC) leo jumatano
walisema watakwenda Bungeni Dodoma kumshitaki M/Kiti
wao Mh Ismail Aden Rage kwa Spika wa Bunge.

Hawa wanachama wamekwenda au bado wako Dar???
 
Na mimi nilitaka kuuliza hilo, wenye viti wa matawi ya Simba walitishia kwenda bungeni kumshitaki mwenyekiti wao Aden Rage kwa mh Spika kwa makosa 3
1. Kusigina katiba ya Simba
2. Kumwuza mchezaji Okwi na pesa za mauzo kuzitumia katika kuendeshea shell yake(Rage)
3. Kutaka kupiga mnada jengo la klabu ya Simba
Jee! mnaojua hawa wanachama wamefikia wapi?
 
Huenda gari lao limeharibikia Kibaigwa!
 
Spika anahusiana vipi na maswala ya Simba.?

Inaonekana hao Mashabiki wamevurugwa.!
 
Na mimi nilitaka kuuliza hilo, wenye viti wa matawi ya Simba walitishia kwenda bungeni kumshitaki mwenyekiti wao Aden Rage kwa mh Spika kwa makosa 3
1. Kusigina katiba ya Simba
2. Kumwuza mchezaji Okwi na pesa za mauzo kuzitumia katika kuendeshea shell yake(Rage)
3. Kutaka kupiga mnada jengo la klabu ya Simba
Jee! mnaojua hawa wanachama wamefikia wapi?

Kwenda kwa Spika ni kusigina katiba pia, nao wawajibishwe.
 
Back
Top Bottom