.Habari zenu. Napenda kuwatakia Jumapili njema ya matawi twendeni tukasherekee wapendwa. Muwe na siku njema tukijiandaa kwa pasaka. Mungu awabariki wote. Amen
Ameen, sred hii imenisuta maana sijaenda kanisani kwa sababu ya mambo ya kidunia.
Habari zenu. Napenda kuwatakia Jumapili njema ya matawi twendeni tukasherekee wapendwa. Muwe na siku njema tukijiandaa kwa pasaka. Mungu awabariki wote. Amen

Nimekusoma Dena
Nimeenda ya kwanza na ya pili....Mbona leo sijakuona church? Umeingia misa ya ngapi?
Habari zenu. Napenda kuwatakia Jumapili njema ya matawi twendeni tukasherekee wapendwa. Muwe na siku njema tukijiandaa kwa pasaka. Mungu awabariki wote. Amen
Habari zenu. Napenda kuwatakia Jumapili njema ya matawi twendeni tukasherekee wapendwa. Muwe na siku njema tukijiandaa kwa pasaka. Mungu awabariki wote. Amen
Amen, mimi nilikwenda misa ya tatu nikakuta matawi yamekwisha
yote yaliishia misa ya pili wote tulio sali misa ya tatu tumeyakosa.
Kongosho hii ni wiki takatifu kumbuka basi kufunga angalau kidogo sawa