leo ni Birthday yangu jamaaan

Madodi

Senior Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
176
Reaction score
60
mambo wana jf..namshukuru Mungu leo natimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwangu..naomba kuchukua nafasi hii kujipongeza na kuwaalika wale waliopo mwanza..party itakuwa pande za TJ pub kuanzia saa 2 usiku...mnakaribishwa.
 
Hongeraaa!nakuombea kwa Mungu uishi miaka utakayo!!
 
Happy birthday rafikiiii.......Mwenyezi Mungu akujaalie kila lenye kheri maishani mwako!
 
HONGERA Madodi kwa kusherehekea siku yako hii ya kuzaliwa.
Mungu akupe umri mrefu, afya na furaha.
 
wachakachua thread washaanza.
@madodi hapy birthday mwaya
Madodi mwenyewe katoroka katuacha wageni waalikwa ukumbini, tufanyeje zaidi ya kupiga story! Sherehe haina hata keki we uliona wapi wifi?.. Mzima weye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…