Leo ndo nimeamini cLouds tv ni ya chama

Nkongu Diallo bado hajahamia CDM ila kuna tetesi hizo kuwa anaweza hamia muda wowote
 
Yaani hizi media za CLOUDS zipo kibiashara au kipropaganda tu? Me naona zingebaki kuhangaika na FIESTA tu ndo pangewafaa zaidi.Sijui ni watanzania wangapi hua wanaangalia CLOUDS TV? Yaani hizi media kila kona wananyooshewa kidole!
Yaani wao habari za wapinzani wa chama tawala kwao sio issue, Si waungane na TBC1 ili mtu mwenye kuangalia taarifa ya habari aangalie huko tu maana habari zao ni za kibaguzi hazina tofauti na TBC1.
Toka muda nimeangalia kila wanapotaka kuzisoma habari za wapinzani huzirusha rusha bila mpangilio kiwoga woga, Mara usikie "habari haiko tayari tutakuletea baadaye ikiwa tayari" Mara wamulike majukwaani tu mpaka mwisho bila kuangazia iliko hadhara!
Hizi Sio habari hata kidogo kuelekea Uchaguzi mkuu, mtabakia na FIESTA FESTIVALS tu.
Leo Mwewe ameenda Mtera kumulika bendera ya CHADEMA iliyochani, kipande cha tambara kilichochakaa kimebaki nusu! Walakizodoa mpaka mwisho,Swali kama huo ulikua ni ujumbe kwa CHADEMA ujumbe utamfikia nani maana wanabagua habari zao? wengi hiyo TV hawana time nayo.Hii ni dhahiri shahiri kwamba they are not plyaing fairly.
 

Kwani we mchina?
 

Si ndio ile dhana ya kila ifikapo saa mbili usiku chanel zote zijiunge na tbc kwa taarifa ya habari. Baada kugonga mwamba sasa ndio wanarudi kinyumenyume
 
hata mimi nilikerwa sana tuliacha wote bombe ta mimi nil
 
Duh! Hii ya Tanzania ni Kali Sana, hapa inaonesha upofu wa fikra kwa mliowengi ndani ya Jf. Iweje kila lifanywalo kwenu baya? TBC ni ccm sababu hawajatangaza kile utakacho wewe kusikia, Clouds ishanunuliwa na unashawishi wapofu wenzio wasusie ili hali wewe unatazama na ndio maana malalamiko yako ya kipuuzi unaleta hapa, na sasa mnahamia ITV nao wabovu kisha habari unayoitaka wewe inasomwa mwishoni. Hivi ni kweli mnamtizamo chanya na mabadiliko mnayo hubiri ikiwa wewe hutaki kubadirika?
Mi nadhani mabadiliko yaanzie kwangu na kwako ili kuleta ukombozi wa kweli na sio kutafuta mchawi, na kumchukia kila mtu, kitu kwa upumbavu wetu.

Angalizo:
Nchi ni ya kidemokrasia, na kila MTU, Ana itikadi yake na huko huru kufanya akitakacho kisichopingana na sheria za nchi. Hivyo kutaka kila MTU, au taasisi kua na itikadi moja ni ufinyu wa Mawazo na fikra zitakazo kumgandamiza mtanzania halisi.
 
Nilishangaa sana kuona ktk habari ilioteka jiji la mwanza kwa mkutano ulojaza watu mpaka kutapika ukiripotiwa kwa style ya ajabu vile!ati viongozi wa meza kuu bila wasikilizaji si bora wangeacha tu?
 
Mimi nimekataza familia na ukoo kuangalia clouds tv kingamuzi na weka code kwenye hiyo chanel wanauliza nini namwambia hiyo ni ya ngono sio nzur

Ha ha ha ha ha mkuu safi sana. Nitafanya hivyo pia
 

Mnataka mass support hadi kwenye media daaaah hii hatariiii
 

wee baba lucia unazeeka vibaya na hujaeleelewa. haiwezekani tbc tangu juzi hawajaonyesha UKAWA wakiwa wanahutubia
 
Dkk ya 21 juu ya saa 2... ITV hawajasema chochote kuhusu mafuriko ya Mwanza.... waoga.... wasaka tonge tu hawa wote... jamani chadema tv... tupeni akaunti tuchangue kama hamna hela...
ITV hawana woga ila kwa habari kubwa kama hiyo ambayo wanajua watu wengi wanaiguatilia huwa wanaweka mwishoni mwa habari za kitaifa ili watu waaangalie na nyingine ambazo huwa wanaziweka mwanzoni. Ukiweka hiyo ya mafuriko mwazoni watu wakishamaliza kuingalia tu wanaacha kuangalia nyingine hivyo ni kama ka mtindo ka kuwaongezea hamu ya kusubiri wakati wakisubiri habari kuu. Hizo za makufuli wanaweza kuziweka mwanzoni kwakuwa watu hawazifuatilii sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…