Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 454
Channel ten nao sijui waligombana na Lowasa
Yaan leo ndio nimeangalia clouds kw bht mbaya, ndo nkakutana na hbr hiyo ya Ukawa mwanza, nkaamua kuangalia tu, lkn walivyoipiga, hadi mtangazaji kajistukia,
sio Mbaya LOWASA NDIO RAIS awamu ya 5
angalia azam ya Tido haogopi
angalia azam ya Tido haogopi
ITV na star TV had sasa hawajatoa heading kuhusu lowasa kama vile hakukuwa name chochote
kumbe azam ni ya tido, nilidhani ya Bakheressa
Tido Mhando ni Mkurugenzi wa hiko kituo na Bakhresa ndiye Mmliki.kumbe azam ni ya tido, nilidhani ya Bakheressa