jose lupembe
Member
- Aug 24, 2016
- 38
- 58
Ni kifaa cha elektroniki cha usalama ambacho kinafungwa kwenye majengo mbalimbali ili kugundua harakati zisizoruhusiwa katika Maeneo haswa baada ya muda wa kazi. Kifaa hiki kinatumika katika maeneo ya biashara na makazi
Kama vile kwenye majengo ya viwanda na jeshi
Leo tunazungumzia jinsi gani MOTION SENSOR inaweza ikatuma nyumbani
Pamoja na aina mbalimbali za MOTION SENSOR zinazopatikana kwenye soko leo
Faida za MOTION SENSOR ni nyingi katika matumizi mbalimbali
Wamiliki wa nyumba hutumia MOTION SENSOR kwa matumizi ya vitu vingi kwa usalama dhidi ya wizi, hadi ufuatiliaji wa watoto na wanyama.
JINSI MOTION SENSOR ZINAVYOTUMIKA MAJUMBANI
Husaidia kufuatilia watoto wako au wanyama Ikiwa kuna maeneo kwenye nyumba yako ambayo hayafai kwa watoto MOTION SENSOR inaweza kukusaidia.
Karibu na mlango wa maeneo ambayo hutaki watoto wacheze au waende mfano karakana utafunga MOTION SENSOR ikiwa mtoto atakaribia maeneo hayo basi itakuarifu kwa alarm
MOTION SENSOR HUSAIDIA KUWASHA TAA NA KUZIMA
Hii motion sensor itakusaidia kuwasha taa pale tu unapo karibia mlangoni na itazima baada ya kuondoka
Ni nzuri kufunga chooni, kwenye kolido, veranda na parking za magari
Hata taa za kwenye senyenyenge unaweza kufunga itasaidia pia kupunguza matumizi ya umeme kwasababu zitafanya kazi pale tu itakapo detect motion.
Zipo za dizaini tofauti na zimetofautiana umbali wa kudetect.
Imeandaliwa na electrician lupembeTz
Kwa maelezo zaidi call
0769233063
0652353333