Leo natimiza miaka minne ya bila kuhonga

Umezungumzia kuhonga as if ni kitu cha lazima sana na hakikwepeki. Kuhonga ni uoga, kuhonga ni utumwa, kuhonga ni kununua mapenzi. Mtu anajiingiza kuhonga kwa kutojiamini. Kama kweli umetoka huko hongera sana!
Ahsante sana mkuu. Mkuu hakika kuhonga ni utumwa
 
Hongera zako acha sisi wengine tuendelee kuhonga na kuendelea kuzichakata k tukikua kama wewe tutaacha
 
Nina tatizo la macho hali inakuwa mbaya nisopavaa miwani.Niliposoma kwa haraka kichwa cha uzi wako nilifikiri umeandika "leo ninatimiza miaka minne ya bila kuoga" nikashangaa sana,ila niliposoma mara ya pili ndio nikakuelewa
 
Habarini za leo wakuu, natumai mko salama.

Wakuu leo nimeamua kuwafichulia siri ya maisha yangu tangia 2017 mpaka leo 2020.

Leo hii wakuu nimetimiza miaka minne tangu nisitishe biashara ya kuhonga. Mwanzoni haikuwa rahisi sana wapenzi wangu kwenda na huu mfumo wangu wakupata penzi bila kuhonga. Ili nibidi niende nao taratibu mwisho walizoea.

Mbinu nilizo tumia. Moja nilianza kupunguza hela ya kuhonga kuanzia asilimia 90 mpaka asilimia 30 kwa kila mwezi. Taratibu nilifanya hivyo mpaka mwanzoni mwa mwaka 2018 nilikua nimeshapunguza mpaka asilimia Sufuri. Pili nilianza kupunguza kutoa ahadi mpaka mwisho nikaacha kabisa.

Tangia nisitishe hii biashara nimepata mafanikio yafuatayo.
1. Akili yangu imetulia marudufu

2. Nimefanikiwa kufanya uwekezaji ambao utaniletea faida baadaye.

3. Mwili umerudi, nimenenepa, navutia navaa vizuri na napendeza tofauti na mwanzo hili limepelekea watoto wengi mtaani kuvutiwa na mimi.

4. Nimekuwa na amani na furaha kuliko mwanzo ambapo mwanzo ilikuwa nikiwasha simu tu baby naomba hela ya saluni.

5. Wapenzi wangu wananyoa nywele zao na kupendeza vizuri ambapo wanaonekana ni wazuri zaidi kuliko kipindi walicho kuwa wanasuka marasta ya makatani na manywele ya uzi.

6. Nimefanikiwa kuwabadirisha wapenzi wangu wote waende na mfumo wangu wa ubahiri. Kwa hiyo huwa hawaniombi pesa na kila kitu wanajitegemea wenyewe.

6. Nimefanikiwa kugundua kuwa wanawake wanaweza kujitegemea wenyewe bila ya sisi maana nao wana mikono na miguu. Hawakuumbwa ili waje kuchoma tunavyo vitafuta.

7. Nimefanikiwa kugundua kuwa sisi ndio tuna waharibu wanawake kwa kuwazoesha vipesa ambapo wao hawana shida na pesa zetu. Wao wanachotaka ni upendo wa kweli sio pesa.

Wakuu kiukweli mafanikio ni mengi niliyo yapata. Sasa naishi raha msitarehe na papuchi zinaliwa kama kawaida.

Mwisho:
Ukikuta mwanamke anapenda kuhongwa hela ujue mwanamme wake wa kwanza alikuwa domo zege alimtongozea pesa.

Karibuni kwa maoni wakuu, sasa uwanja ni wenu.

Ushauri wenu wakina Jonah, Financial service na dada yetu cute love. Nini maoni yenu juu ya hili.
Brooo Mimi mchagaa kuhongaa ndo nin 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dah nakumbuka kuna demu alikuwa ana hongwa alafu hela anamletea miminimkulimaakachekasana

Hapo nilikuwa sijui kama ana msela mwingine na hela anatoa kwa huyo jamaa,mi nilihisi tu pesa anazopata kwenye biashara zake.

Nikaja kuja kumgundua huyo msela,na kumbe walianza muda sana.
Nilijisikia vibaya kinoma ukimcheki jamaa alikuwa na sura ya kipole sana,moyo uliniuma sana.Nikatengeneza mazingira niachane na yule demu.
images (22).jpeg

Usiamini kila kitu mtandaoni.Niamini mimi
 
Attachments

  • images (22).jpeg
    images (22).jpeg
    23.1 KB · Views: 13
Habarini za leo wakuu, natumai mko salama.

Wakuu leo nimeamua kuwafichulia siri ya maisha yangu tangia 2017 mpaka leo 2020.

Leo hii wakuu nimetimiza miaka minne tangu nisitishe biashara ya kuhonga. Mwanzoni haikuwa rahisi sana wapenzi wangu kwenda na huu mfumo wangu wakupata penzi bila kuhonga. Ili nibidi niende nao taratibu mwisho walizoea.

Mbinu nilizo tumia. Moja nilianza kupunguza hela ya kuhonga kuanzia asilimia 90 mpaka asilimia 30 kwa kila mwezi. Taratibu nilifanya hivyo mpaka mwanzoni mwa mwaka 2018 nilikua nimeshapunguza mpaka asilimia Sufuri. Pili nilianza kupunguza kutoa ahadi mpaka mwisho nikaacha kabisa.

Tangia nisitishe hii biashara nimepata mafanikio yafuatayo.
1. Akili yangu imetulia marudufu

2. Nimefanikiwa kufanya uwekezaji ambao utaniletea faida baadaye.

3. Mwili umerudi, nimenenepa, navutia navaa vizuri na napendeza tofauti na mwanzo hili limepelekea watoto wengi mtaani kuvutiwa na mimi.

4. Nimekuwa na amani na furaha kuliko mwanzo ambapo mwanzo ilikuwa nikiwasha simu tu baby naomba hela ya saluni.

5. Wapenzi wangu wananyoa nywele zao na kupendeza vizuri ambapo wanaonekana ni wazuri zaidi kuliko kipindi walicho kuwa wanasuka marasta ya makatani na manywele ya uzi.

6. Nimefanikiwa kuwabadirisha wapenzi wangu wote waende na mfumo wangu wa ubahiri. Kwa hiyo huwa hawaniombi pesa na kila kitu wanajitegemea wenyewe.

6. Nimefanikiwa kugundua kuwa wanawake wanaweza kujitegemea wenyewe bila ya sisi maana nao wana mikono na miguu. Hawakuumbwa ili waje kuchoma tunavyo vitafuta.

7. Nimefanikiwa kugundua kuwa sisi ndio tuna waharibu wanawake kwa kuwazoesha vipesa ambapo wao hawana shida na pesa zetu. Wao wanachotaka ni upendo wa kweli sio pesa.

Wakuu kiukweli mafanikio ni mengi niliyo yapata. Sasa naishi raha msitarehe na papuchi zinaliwa kama kawaida.

Mwisho:
Ukikuta mwanamke anapenda kuhongwa hela ujue mwanamme wake wa kwanza alikuwa domo zege alimtongozea pesa.

Karibuni kwa maoni wakuu, sasa uwanja ni wenu.

Ushauri wenu wakina Jonah, Financial service na dada yetu cute love. Nini maoni yenu juu ya hili.
Tunakusaidia kulea kwa hio usiogope
 
Back
Top Bottom