leo nasimamisha sana aisee

Bora mm nilishajizoelea Bodaboda mkuu .....hizi bajaji kipindi kama hiki hata bei huwa zinakuwa juu sana hapa bongo tofauti na kukiwa na joto unapigiwa tuu honi wakati hujasimamisha
 
kutokana na mvua hii najikuta nasimamisha sana bajaj kuliko boda boda, hivi hapa nimeshindwana bei na bajaj kaenda zake

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
1494481749042.jpg
Acha swaga,,weka muziki,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom