Wale wale pathetic idiois wanadhani ukiwa nchi huru ndi hujadiliwi.Kwa yeyote aliyekusikia Leo ukichangia hoja kwenye bajeti (whatsoever) ya Wizara ya mambo ya nje umepiga mkwara Marekani wasiwajadili Kwa vile vyie ni Nchi huru? Uhuru wenu ndo uwanyime Uhuru wengine kujadili Mambo yao? Kujifafanya vipofu na viziwi wapumbavu àmbao mnatetea Unyama uliofanyika Oct 29 2025 ni ukatili gani huu?
Endeleeni kujikanyaga Dunia inawaona.
Unamaanisha MAUAJI?Kwani utakaje, yaani umekuwa kuwadi? yaani hamnas sera zaidi ya matukio ya vurugu
Vurugu za kuuwa watu na kutekaKwani utakaje, yaani umekuwa kuwadi? yaani hamnas sera zaidi ya matukio ya vurugu
Bunge hatuna kitambo sana. Ni kikundi cha wapenda sifa tu na kujilimbikizia malupulupu kibaoKwa yeyote aliyekusikia Leo ukichangia hoja kwenye bajeti (whatsoever) ya Wizara ya mambo ya nje umepiga mkwara Marekani wasiwajadili Kwa vile vyie ni Nchi huru? Uhuru wenu ndo uwanyime Uhuru wengine kujadili Mambo yao? Kujifafanya vipofu na viziwi wapumbavu àmbao mnatetea Unyama uliofanyika Oct 29 2025 ni ukatili gani huu?
Endeleeni kujikanyaga Dunia inawaona.
confused US government inafaa kupuuzwa tu 🐒Kwa yeyote aliyekusikia Leo ukichangia hoja kwenye bajeti (whatsoever) ya Wizara ya mambo ya nje umepiga mkwara Marekani wasiwajadili Kwa vile vyie ni Nchi huru? Uhuru wenu ndo uwanyime Uhuru wengine kujadili Mambo yao? Kujifafanya vipofu na viziwi wapumbavu àmbao mnatetea Unyama uliofanyika Oct 29 2025 ni ukatili gani huu?
Endeleeni kujikanyaga Dunia inawaona.
Hamna mauaji zaidi ilitaka kupindua nch , ile ni trailer jaribu tena.Unamaanisha MAUAJI?
leteni tena vurugu muone , mbona hamchomi tena mali za umma . Washenzi wakubwaVurugu za kuuwa watu na kuteka
Uhai umepootaKwani utakaje, yaani umekuwa kuwadi? yaani hamnas sera zaidi ya matukio ya vurugu
Ili lionekane bunge ilitakiwa liwatetemekee wale waongo waongo au liwatetemekee wezi wa simuBunge hatuna kitambo sana. Ni kikundi cha wapenda sifa tu na kujilimbikizia malupulupu kibao
Umejisikiaje baada ya kuandika hivi 🤦🏼Hamna mauaji zaidi ilitaka kupindua nch , ile ni trailer jaribu tena.
Kuwa na KAKA BUMUNDA ni Fedheha, kuwa na DADA MSAGWAJI ESTA nako ni fedhehaMjadala wa leo umenifurahisha sana, hongera kaka yangu nape nnauye, dada yangu esther bulaya, na yule mwingine nimemsahau
NB: WAO WAMECHAGUA UPANDE HUO, WEWE UNAEUMIA UNAO UHURU WA KUCHAGUA UPANDE MWINGINE.