Tetesi: Leo naona walimu wengi bar.

Joasi

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
768
667
Za kushinda wapendwa
Moja kwa moja kwenye maada.
Leo nipo bar na nimewaona walimu wengi sana hapa Ambao tunafahamiana .

My take nini kimetokea kwa walimu wetu wapendwa and way wafanye kama kasherehe hivi.
 
Wanatamaa za kutaka kujiondolea stress kumbe hta hizo hela za balimi ni za mkopo.
 
Umeenda bar kuangalia walimu mzee..kwaiyo hujaona manes madoct umeona maticher tu..hi n chuki
 
Za kushinda wapendwa
Moja kwa moja kwenye maada.
Leo nipo bar na nimewaona walimu wengi sana hapa Ambao tunafahamiana .

My take nini kimetokea kwa walimu wetu wapendwa and way wafanye kama kasherehe hivi.
Sijaona utetesi wa hii habari
 
Wanapoteza mawazo ya Mei mosi tena wawe makini wasifike alipofika Chid Benz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…