Kwa hio wewe ni.....?Hapana
Jamani mpenzi nimeutesa na nini?Wewe hapo wautesa moyo wangu...

Ndioo, kumbe tuliachana?Khaaaa.
My umesahau ee, sawa tu

Ndio my, nilishindwa kukuvumilia my wanguNdioo, kumbe tuliachana?![]()
Mweeeh kunivumilia na nini?jamani wanaume nyinyiNdio my, nilishindwa kukuvumilia my wangu




Nimezaliwa mwaka 1976 nina elimu ya masters nina mke na watoto watatu. Ni mwajiriwa na pia ni mjasiriamali na mkulima. Maisha yangu namshukuru Mungu yanaenda vizuriHistoria yako fupi ya Elimu na Maisha yako kwa ujumla utueleze.