Leo naenda kutambulishwa kwa wakwe rasmi TANGA

Fasouls mkuu Mbimbinho amekuuliza ........ una uhakika upo tayari?!


attachment.php
 
Bwana mkubwa Fasouls, je umekubaliwa kumuoa huyo mchumba wako wa Tanga??? Wakati ukitafakari kama unipe jibu au hapana, nakupa hii katuni ikufundishe jinsi ya kumuelewa na kumfahamu kiumbe anayeitwa mwanamke.

Understanding a Woman.jpg
 
Bwana mkubwa Fasouls, je umekubaliwa kumuoa huyo mchumba wako wa Tanga??? Wakati ukitafakari kama unipe jibu au hapana, nakupa hii katuni ikufundishe jinsi ya kumuelewa na kumfahamu kiumbe anayeitwa mwanamke.

Mama Mdogo "kumuelewa na kumfahamu kiumbe anayeitwa mwanamke"?! ... I dont think so!


Huyu jamaa alimsaidia Mwanamke aliemkuta kafungwa kwenye Reli ... akamfungua ... akampeleka out wakaongea yaliyomsibu ... akaona kuwa alionewa ...

Baada ya kumsikiliza akaona kuwa huyu ndio mwanamke! ... akajenga urafiki nae ... akaamua kumuoa! .. baada ya kuanza kuishi nae ndani ... mwanamke akabadilika ... jamaa akaona kaoa mtu tofauti kabisa na yule aliemfungua relini! ... akaanza kumnyanyasa jamaa ... kila mara anamfokea ... nyumbani hakuna amani ...

Jamaa yakamshinda .. akamwaga manyanga ... akamrudisha kule kule relini alipomtoa ... na yeye akamfunga ili Treni ikipita imalize kazi!

Ni vigumu sana kumfahamu mwanamke ... unapofikiria umemfahamu ... basi jiandae kupata surprise ambayo hukuitarajia!


url
 
Ndugu Dotworld, nilipompa Ndugu Fasouls hiyo katuni ili imfundishe jinsi ya kumuelewa na kumfahamu kiumbe anayeitwa mwanamke, nilikuwa na maana huyu kiumbe ni complex zaidi ya maelezo.

Despite being known as the world's most famous scientist, Professor Hawking has revealed that he, like many other men, spends much of his time thinking about women. In an interview with the New Scientist magazine to mark his 70th birthday on Sunday, January 8, he was asked: "What do you think most about during the day?" to which he replied: "Women. They are a complete mystery."



Someni hili shairi ili kunielewa:

Women are Complex Creatures

If you kiss her, you are not a gentleman.
If you don't, you are not a man.
If you praise her, she thinks you are lying.
If you don't, you are good for nothing.
If you agree to all her likes, you are a wimp.
If you don't, you are not understanding.
If you visit her often, she thinks it is boring.
If you don't, she accuses you of double-crossing.
If you are well dressed, she says you are a playboy.
If you don't, you are a dull boy.
If you are jealous, she says it's bad.
If you don't, she thinks you do not love her.
If you attempt a romance, she says you didn't respect her.
If you don't, she thinks you do not like her.
If you are a minute late, she complains it's hard to wait.
If she is late, she says that's a lady's way.
If you visit another man, you're not putting in "quality time."
If she is visited by another woman, "Oh it's natural, we are ladies."
If you kiss her once in a while, she professes you are cold.
If you kiss her often, she yells that you are taking advantage.
If you fail to help her in crossing the street, you lack ethics.
If you do, she thinks it's just one of men's tactics for seduction.
If you stare at another woman, she accuses you of flirting.
If she is starred by other men, she says that they are just admiring.
If you talk, she wants you to listen.
If you listen, she wants you to talk.
 
hahaha, huwa wanalisha libwata ambalo utaishi maisha yako yote ukijua kuwa watu wa tanga pekee ndo wanajua mapenzi kuliko wote, ..kumbe kazi yao ni kuzungusha tu likiuno bila hata mpangilio...akizungukaaaaa weee bila hata manjonjo yeyote anafikir ndo kujua mapenzi...kuna watu wanatoka mikoani, wasomi wamesoma hadi kisomo namna ya kufanya majamboz ukikutana nao, hawaweki libwata lakini hutakuja uwaache...mimi mwanamke wa tanga simtaki...lakini kipenda roho hula nyama mbichi...
lol unamtisha mwenzio.....utafanya aogope kunywa maji ukweni.
 
Back
Top Bottom