Mkuu rombo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,556
- 423
aiseeeeeeee babayangu, wana JF heri ya chrismass
nimetoka kanisani narudi nyumbani kujumwika na ndugu jamaa na familia kwa ujumla
siku ya leo ni siku ya kepekee sana so leo sito kunjwa mbege hata kidogo
embu tiririka leo utakuwa wapi, utafanya nini,hauto fanya nini, utaenda wapi etc
wana mkuu rombo wanawasalimu sana
Asante sana Mkuu rombo .
Mimi na familia yangu tunakutakia X-Mass njema..
Sisi leo tupo Marangu -Kilema ,tunasherekea sikukuu ya NOEL.
Nipo zangu apa Mkuu kijijini Maharo with my family ni mwendo wa mbusi tu apa! Japo kuna mvua kubwa tu bt evryting is okie.Merry xmass al guys!
aiseeeeeeee babayangu, wana JF heri ya chrismass
nimetoka kanisani narudi nyumbani kujumwika na ndugu jamaa na familia kwa ujumla
siku ya leo ni siku ya kepekee sana so leo sito kunjwa mbege hata kidogo
embu tiririka leo utakuwa wapi, utafanya nini,hauto fanya nini, utaenda wapi etc
wana mkuu rombo wanawasalimu sana
Mkuu, asante kwa salam zenye kheri, mi na ukoo wangu hasa "my husband" wangu tuko kivulini tukikumbuka yale Mzaliwa wa leo alitufanyia takribani miaka 2010 ilopita, Jina lake litukuzwe saidi!
mmmmmmmmmh
Niko bar napiga vyombo taratibuuuuuuuuu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Niko bar napiga vyombo taratibuuuuuuuuu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Baada ya ibada kanisani, mimi na familia yangu tumepita kituo kimoja cha kulelea watoto yatima hapa Arusha, tumetoa zawadi yetu ndogo ya mchele kilo kumi pamoja na nyama kilo 2 juice na soda kwa ajili ya watoto na walezi wao. Kituo hiki kina watoto 15 na walezi 5. Pia tumetumia muda wa zaidi ya saa 3 pamoja na watoto hao. Wametuimbia nyimbo mbalimbali, lakini ujumbe wao mkumbwa ni juu ya mahitaji ya elimu na kusaidiwa katika mahitaji mengine ya muhimu kama chakula. Baada ya hapo tupo nyumbani kumalizia siku hii.
Mkuu rombo karibu kwetu apa Mkuu Kanisani! Au unangoja ngera babaangu??