Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,790 Reaction score 24,382 Feb 20, 2026 #1 Tarehe ya leo 20th February 2002 baba yangu aliaga dunia. Leo ni miaka 24 tangu mzee yule wa shoka atangulie mbele ya haki. Nipe support yako kwa kumpa RIP baba yangu. Angekuwa hai, leo hii angefikisha umri wa miaka 113!
Tarehe ya leo 20th February 2002 baba yangu aliaga dunia. Leo ni miaka 24 tangu mzee yule wa shoka atangulie mbele ya haki. Nipe support yako kwa kumpa RIP baba yangu. Angekuwa hai, leo hii angefikisha umri wa miaka 113!
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 46,040 Reaction score 126,563 Feb 20, 2026 #2 Pole
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,414 Reaction score 18,438 Feb 20, 2026 #3 Aendelee kupumzika Kwa Amani Baba yetu
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 19,703 Reaction score 37,930 Feb 20, 2026 #4 Pole sana, swala la RIP kwa Imani yangu ni Changamoto, sisi tuliobaki duniani tujitajidi kujitengenezea RIP zetu! Miaka 24 ni Mingi sana bila Baba, ashukuriwe Mungu Bado upo na upo stable na utimamu, "tuendelee kutenda Mema"
Pole sana, swala la RIP kwa Imani yangu ni Changamoto, sisi tuliobaki duniani tujitajidi kujitengenezea RIP zetu! Miaka 24 ni Mingi sana bila Baba, ashukuriwe Mungu Bado upo na upo stable na utimamu, "tuendelee kutenda Mema"
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,450 Reaction score 203,037 Feb 20, 2026 #5 Mwanga wa milele uwaangazie Marehemu wote..
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,892 Reaction score 31,095 Feb 20, 2026 #6 Apumzike kwa amani
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,196 Reaction score 79,642 Feb 20, 2026 #7 Pole sana ndugu yangu mzee apumzike kwa amani
Holoholo-Baba Kijacho JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 6,732 Reaction score 13,766 Feb 20, 2026 #8 RIP comrade kwa kutuachia zawadi Kichuguu duniani!
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,435 Reaction score 20,929 Feb 20, 2026 #9 R.I.P Sikumbuki tarehe ya kifo Cha baba na mama yangu. Labda kwakuwa yalitokea nikiwa mdogo, sijui. Ila alianza mama, kisha baba. 🙏
R.I.P Sikumbuki tarehe ya kifo Cha baba na mama yangu. Labda kwakuwa yalitokea nikiwa mdogo, sijui. Ila alianza mama, kisha baba. 🙏
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,600 Feb 20, 2026 #10 Poleni sana wafiwa... Cc: Mahondaw