Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Sijamwambia kama hajui kupika ila nimemtafutia mwalimu wa mapishi kwa gia kwamba akaongeze ujuzi zaid katika mapishi
IMG_20180421_174129_824.JPG
 
Huyo mke wako kweli noma... Yaani kapika kama mwanzo... Na ile siku ulimsifu sana
 
Back
Top Bottom