Mwalimu Mlaki
Member
- Feb 11, 2015
- 62
- 8
Nilichokishuhudia leo ikiwa ni siku moja tu kabla ya ujio wa Lowassa ni vijana waendesha pikipiki wakiwa wamevalia fulana nyekundu na bendera za CDM,lugha ya kampeni ni ya kumkashifu Mbunge wa CCM kuwa "analala tu bungeni"ila nimeshangaa sijasikia wakisema kuwa wanayemnadi atafanya nini bungeni au atajizuiaje asilale akiwa Dodoma.
Vijana waendesha pikipiki walichangamsha sana eneo la sheli ya Maganga walipoanzia safari yao ya kuhamasisha,kwa upande wa watu wengine nilichokiona ni watu. Kuendelea na shughuli zao na mmojammoja kuangalia mbwembwe hizo.

Tena mapenzi mbadala(backside)Sidhani kama we ni mwalimu kama ID yako ilivyo,labda mwalimu wa mapenzi
Umesahau kusema wamewekewa lita ngapi za petrol
TeamChooni utawajua tu
Hapo itakuwa Bunda bila shaka kwani huko ndiko kuna mlalaji mashuhuri bungeni.Wapi tiririka, tupia na kapicha