Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,637
Kama Lissu akikubali kusaini, utaratibu gani utatumika?
NEC itakwenda Keko au jambo gani litatokea?
Na kama Lissu akikataa kusaini kutakuwa na ramifications gani? Athari gani? Na athari za ziada?
Kama Lissu akikubali kusaini itatokea mitigation katika mashtaka yanayomkabili?