Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
Hana uzuri wowote mimi ni mwanamke na sijaona cha ajabu kilichokuvutia zaid unatafuta kutiwa mbaron jifunze kuheshimu watu.... Kuna siku utaumia,,, she nzy type.... Halafu ni mtoto ukoje wewe mchewwe waza mambo ya maendeleoMkuu ni kweli tunaviolate cyber crime act ila sometimes mambo ni magumu mkuu hunabudi tu. Mtoto alikonga nyoyo sana
Unafikiri!!!! mesej yake inakujengea picha jinsi alivyokua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haikusimama kama kangaroo?
Unafikiri!!!! mesej yake inakujengea picha jinsi alivyokua.
hahaa haaaa..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haikusimama kama kangaroo?
YesThree finger brown luchesse
Yes mkuuThree finger brown luchesse
Asante kwa matusi yako mkuu, nashukuruHana uzuri wowote mimi ni mwanamke na sijaona cha ajabu kilichokuvutia zaid unatafuta kutiwa mbaron jifunze kuheshimu watu.... Kuna siku utaumia,,, she nzy type.... Halafu ni mtoto ukoje wewe mchewwe waza mambo ya maendeleo
Hahah, capo di tuti capi unauaUnafikiri!!!! mesej yake inakujengea picha jinsi alivyokua.
Mkuu labda ni picha tu ungemwona walaah mtt sik underageWabongo mmezoea ubabu seya wakubaka watoto mtafungwa kwenye nchi za watu, huyo mtoto ni under age.
matusi gani?
Mara shentyp mara nn. This post was meant to be humorous not otherwise na jinsi ilivyokaa you shoud've realized that i wasnt seriousmatusi gani?
Ukipendwa na demu wa kizungu unaweza ukadhani hamna wanawake wengine ukawaona kama madume! wanajua kupenda hao ukimzingua kidogo tu kama yeye kakupenda analia usipo m'bembeleza hanyamazi mapema! Ukilala nae au mkiwa mnatembea barabarani au mpo ndani ya usafiri anataka mshikane mikono tuDemu wa kizungu akupendage yeye lakini ukijishoboa ww lazima utoke bila bila
Nilishawahi na mtoto wa kirusi kwa miaka 7
Ebwna eeeh mkuu naomba no. Ya mtoto wa kitasha hata mfinnish fresh tu, wa kwenye badoo hawareply kabisa mkuuUkipendwa na demu wa kizungu unaweza ukadhani hamna wanawake wengine ukawaona kama madume! wanajua kupenda hao ukimzingua kidogo tu kama yeye kakupenda analia usipo m'bembeleza hanyamazi mapema! Ukilala nae au mkiwa mnatembea barabarani au mpo ndani ya usafiri anataka mshikane mikono tu
Inaonekana ulikula bata sana mkuuNilishawahi na mtoto wa kirusi kwa miaka 7
Hahah angalia usiishie kupunwa hela na watoto wa ifm na magogoni mkuungoja na nkapande panton